MTV MBONGO
JF-Expert Member
- Feb 18, 2016
- 1,288
- 1,262
mbona meusi kama makaa ya mawe?
Kiazi kikuu kwenye ubora wakeView attachment 369421 Wachagga hapa watanielewa vizuri
Hafu kuna vibere vitamu na vichungu nimevi miss kweliViberee...nakumbuka tulikua tunachemsha twanywa na chai