Haya ni matumizi mabaya ya fedha za serikali!

Maji ya dawaa siku siyo pyua...ukitia dawa ya kuwasha haitowasha kwa kiwango inachotakiwa...na kwa kuwa wakawa ni wabishi, inabidi wapate muwasho stahili...ha ha haaa
 
Jeshi la polisi livunjwe.
Wawekwe watu wenye weledi wa hali ya juu.

Ni kweli kabisa jeshi la Polisi livunjwe awekwe baba yako Bodaboda na Mama Ntilie MJINGA MKUBWA HUNA HATA AIBU wewe.

NA HAO WATU WENYE WELEDI WATALETWA NA BABA YAKO TOKA MBINGUNI MAANA WATANZANIA WOTE KWAKO HAWAFAI ILA MAFISADI YALIYOKIMBIA CCM
 
Lol mbona wasomi wengi tu!
 
Ni kweli kabisa jeshi la Polisi livunjwe awekwe baba yako Bodaboda na Mama Ntilie MJINGA MKUBWA HUNA HATA AIBU wewe.

NA HAO WATU WENYE WELEDI WATALETWA NA BABA YAKO TOKA MBINGUNI MAANA WATANZANIA WOTE KWAKO HAWAFAI ILA MAFISADI YALIYOKIMBIA CCM

Wazazi wangu wanakuhusu nini?
 
Wazazi wangu wanakuhusu nini?

Wazazi wako hakukufundisha uliyopaswa kujua kabla ya kupost upuuzi wako humu eti Jeshi lapolisi livunjwe ili iweje mnywe viroba muibe sana au? ndiyo maana nikasema ni ujinga wa wazazi wako kukunyima ulichostahili nidhamu na akili ya kupambanua mambo yahusuyo nchi.
 
KATIBA NI LAZIMA IUNDWE UPYA CHINI YA UTAWALA WA UKAWA MARA MOJA!,
AMIRI JESHI AWE RAIS LAKINI >MAMLAKA ZOTE ZIIDHINISHWE NA BUNGE
>MAHAKAMA ZIWE HURU KWA 100%
>POLISI WAWE CENTERED BY 100%
>TUME IWE HURU BY 100%,IKIJUMLISHA WATU MBALIMBALI
>>>NA MADUDU MENGI TU,YANAYOZUIA USTAWI WA TAIFA LETU.
iiii
 
Back
Top Bottom