Haya ni matumizi mabaya ya fedha za serikali!

Haya ni matumizi mabaya ya fedha za serikali!

Pascal Ndege

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2012
Posts
2,977
Reaction score
1,900
ImageUploadedByJamiiForums1445317011.125302.jpg

Jeshi la police kununua maji ya kuchanganyia dawa ya kuwashawasha Dolphins Waters maji ya standard ya UHAI au Kilimanjaro.

Badala kwenda kuchukuwa maji ya bei nafuu Dawasco Shirika la umma.
 
Kwa askari wetu ambao muda wote wako Insta sijui kama watauweza mziki huu, Haiingii akilini watu wamefanya kampeni for two months na hakukutokea vurugu yoyote waje kufanya vurugu siku ya kupiga kura
 
Halafu haohao polisi wanaishi kwenye kota kama njiwa.

Wanaishi chini ya dola moja kwa siku.
 
Zote hizi ni ishara ya kuwa CCM hawataki kuachia madaraka.

Mi naamini kabisa wanachama wa CCM endapo wakishindwa Urais hawawezi kufanya fujo, ila kwakuwa wanaona dalili za kushindwa basi wanaandaa nguvu ya kulazimisha ushindi kwa kwa namna yoyote.
 
Ten % imehusika... hii ndo nchi ya fisiem tumbo kwanza
 
Hawataki wafanya fujo wapate kipindupindu lol!
Inashangaza sana, na kuna watu wanatumia maji yasio salama kwa matumizi yao ya kila siku. Taabu kweli kweli
 
utawala unaodondoka mara zote hukimbilia kujihami. kama mna hela za kutosha mbona hakuna vifaa vya kupambana na majanga kwa mfno, moto, kuzama meli , nk...........? niliwahi kutembelea kituo cha zimamoto dsm, magari yamechooooka lile ambao ni jipya tulipewa msaada na wajerumani nalo haliko vzr.
 
Sasa km huo ni mradi wa rizi1 unadhani kuna kujali watz????
Nikupiga tu hela za mwisho mwisho
 
Halafu haohao polisi wanaishi kwenye kota kama njiwa.

Wanaishi chini ya dola moja kwa siku.

Hawa jamaa wanaitaji elimu kubwa sana ili waweze kukuelewa. Kifupi maisha yao na mabaya sana. Makazi hawana na bora banda la kuku pale mkuza. Fikiria nyumba ni full suit yaani mabati alafu hali ya hewa 35 centigrade je humo ndani kunakuwa na joto kiasi gani? Alafu wanakuja kutandika wananchi hovyohovyo nafikiri nikama uwenda wazimu. Lakini inahitajika Elimu, Elimu, Elimu watapona tu hao. Lowassa the man of the people.
 
Jeshi la polisi livunjwe.
Wawekwe watu wenye weledi wa hali ya juu.
 
Hivi kuna dawa inachaganywa na maji machafu? watu wapo tu uwezi zuia wasitumie maji yasiyo salama sababu wanatakiwa kuchemsha ni wajibu wao

Hawataki wafanya fujo wapate kipindupindu lol!
Inashangaza sana, na kuna watu wanatumia maji yasio salama kwa matumizi yao ya kila siku. Taabu kweli kweli
 
Tatzo watu waliopo serkaln wanatengeneza mirad ya kise* badala wasaidie wananch wao wanawapa hasara tu
 
Back
Top Bottom