haya ni maradhi au maumbile?

mwl frank

R I P
Jul 11, 2011
78
27
mkuu,nimeshuhudia kwenye tv sherehe za uhuru miaka 50,mh Lukuvi kuchezesha midomo ni maradhi au maumbile? binafsi nimepatwa na huruma juu ya hali hii.
 
:hatari::hatari: khoooooooooooooo khooooooooooo:hatari::hatari:
 
ni kawaida ya magamba,wanadesturi ya kubinuabinua na kulambalamba midomo!wengi wako hivyo!Hujawahi mwona Nape akifanya hivyo!?
 
midomo muangalie NEPI hadi huwa ananikera yaani anakua ka mtoto wa kike kung'ata ng'ata lips
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom