ApolloShadow
JF-Expert Member
- Jul 19, 2025
- 925
- 1,959
Noma sana ni mwendo wa ramli tuJoined yesterday....Noma 😀
Tafasiri ya ndoto ni kwamba:Naliona mwezi katika mawingu, na ghafla tukiwa tunatembea na mtu, ndipo nikamuambia angalia ule pale mwezi mwingine huo ni wa pili, nikawa nashangaa kwasababu haikuwa kawaida.
Ghafla mwezi mmoja ukaanguka chini na kulipuka kama bomu la nuklia, katika sehemu ya mji katika dunia hii.
Nikiwa naenda mbali na mji ule ili kujiepusha na athari za ule mwezi mmoja uliongukaz ghafla nikaona nyota ndogo pia ikianguka katika sehemu nyingine ya mji.
Ndipo nikaendelea mbele na safari ya kuwa mbali na athari ya vile vitu, ghafla nikaona kiongozi mmoja mkubwa katika nchi, na kundi la watu wakiwa wamevaa mavazi meusi wakiwa wanaelekea kule ambapo mwezi ule mmoja umeanguka na ile nyota .
Mwenye kufahamu na afahamu.
huenda soon ukachukuliwa msukule, kua makini sana gentleman kulala lala kwenye sofa za watuNaliona mwezi katika mawingu, na ghafla tukiwa tunatembea na mtu, ndipo nikamuambia angalia ule pale mwezi mwingine huo ni wa pili, nikawa nashangaa kwasababu haikuwa kawaida.
Ghafla mwezi mmoja ukaanguka chini na kulipuka kama bomu la nuklia, katika sehemu ya mji katika dunia hii.
Nikiwa naenda mbali na mji ule ili kujiepusha na athari za ule mwezi mmoja uliongukaz ghafla nikaona nyota ndogo pia ikianguka katika sehemu nyingine ya mji.
Ndipo nikaendelea mbele na safari ya kuwa mbali na athari ya vile vitu, ghafla nikaona kiongozi mmoja mkubwa katika nchi, na kundi la watu wakiwa wamevaa mavazi meusi wakiwa wanaelekea kule ambapo mwezi ule mmoja umeanguka na ile nyota .
Mwenye kufahamu na afahamu.
Kila mjinga sasa hivi anajifanya muota ndoto au nabii feki. Na nawaambia mtaota sana ndoto na kutabiri ila wenyewe CCM tayari walishapata mgombea wa Oktoba.Naliona mwezi katika mawingu, na ghafla tukiwa tunatembea na mtu, ndipo nikamuambia angalia ule pale mwezi mwingine huo ni wa pili, nikawa nashangaa kwasababu haikuwa kawaida.
Ghafla mwezi mmoja ukaanguka chini na kulipuka kama bomu la nuklia, katika sehemu ya mji katika dunia hii.
Nikiwa naenda mbali na mji ule ili kujiepusha na athari za ule mwezi mmoja uliongukaz ghafla nikaona nyota ndogo pia ikianguka katika sehemu nyingine ya mji.
Ndipo nikaendelea mbele na safari ya kuwa mbali na athari ya vile vitu, ghafla nikaona kiongozi mmoja mkubwa katika nchi, na kundi la watu wakiwa wamevaa mavazi meusi wakiwa wanaelekea kule ambapo mwezi ule mmoja umeanguka na ile nyota .
Mwenye kufahamu na afahamu.
Mboga mboga wamechanganyikiwaJoined yesterday....Noma 😀
Laiti angejua tu kwamba kikianguka dunian hata kipande kama burji khalifa hatopata pakujifichaYani Nyota ianguke Duniani kisha wewe upate sehemu ya kukimbilia?
Unaujua ukubwa wa Nyota lakini?
Tafuta kazi ya kufanya,Badala ya kufungua ID mpya ungefungua ukurasa mpya wa kuboresha maisha yako.
Acha bhaana, hivi kigogo siku hizi hana updates kule X? Nani ameshika nafasi yake nikamfatilie?Na yale maturubai yanayofungwa pale nyumba nyeupe yanaashiria nini.......watu wa suti nyeusi mbona wamezuia njia zote za pale ferry?