It's over, over, over !!🙏🙏🙏Naliona mwezi katika mawingu, na ghafla tukiwa tunatembea na mtu, ndipo nikamuambia angalia ule pale mwezi mwingine huo ni wa pili, nikawa nashangaa kwasababu haikuwa kawaida.
Ghafla mwezi mmoja ukaanguka chini na kulipuka kama bomu la nuklia, katika sehemu ya mji katika dunia hii.
Nikiwa naenda mbali na mji ule ili kujiepusha na athari za ule mwezi mmoja uliongukaz ghafla nikaona nyota ndogo pia ikianguka katika sehemu nyingine ya mji.
Ndipo nikaendelea mbele na safari ya kuwa mbali na athari ya vile vitu, ghafla nikaona kiongozi mmoja mkubwa katika nchi, na kundi la watu wakiwa wamevaa mavazi meusi wakiwa wanaelekea kule ambapo mwezi ule mmoja umeanguka na ile nyota .
Mwenye kufahamu na afahamu.
Sasahivi yupo # Tanzania wikileaksAcha bhaana, hivi kigogo siku hizi hana updates kule X? Nani ameshika nafasi yake nikamfatilie?
Ndiyo maana ikaitwa ndoto.Yani Nyota ianguke Duniani kisha wewe upate sehemu ya kukimbilia?
Unaujua ukubwa wa Nyota lakini?
Tafuta kazi ya kufanya,Badala ya kufungua ID mpya ungefungua ukurasa mpya wa kuboresha maisha yako.
Mwenye masikio, na Asikie neno Hili Ambalo Bwana Anena na kanisa.Naliona mwezi katika mawingu, na ghafla tukiwa tunatembea na mtu, ndipo nikamuambia angalia ule pale mwezi mwingine huo ni wa pili, nikawa nashangaa kwasababu haikuwa kawaida.
Ghafla mwezi mmoja ukaanguka chini na kulipuka kama bomu la nuklia, katika sehemu ya mji katika dunia hii.
Nikiwa naenda mbali na mji ule ili kujiepusha na athari za ule mwezi mmoja uliongukaz ghafla nikaona nyota ndogo pia ikianguka katika sehemu nyingine ya mji.
Ndipo nikaendelea mbele na safari ya kuwa mbali na athari ya vile vitu, ghafla nikaona kiongozi mmoja mkubwa katika nchi, na kundi la watu wakiwa wamevaa mavazi meusi wakiwa wanaelekea kule ambapo mwezi ule mmoja umeanguka na ile nyota .
Mwenye kufahamu na afahamu.
Naliona mwezi katika mawingu, na ghafla tukiwa tunatembea na mtu, ndipo nikamuambia angalia ule pale mwezi mwingine huo ni wa pili, nikawa nashangaa kwasababu haikuwa kawaida.
Ghafla mwezi mmoja ukaanguka chini na kulipuka kama bomu la nuklia, katika sehemu ya mji katika dunia hii.
Nikiwa naenda mbali na mji ule ili kujiepusha na athari za ule mwezi mmoja uliongukaz ghafla nikaona nyota ndogo pia ikianguka katika sehemu nyingine ya mji.
Ndipo nikaendelea mbele na safari ya kuwa mbali na athari ya vile vitu, ghafla nikaona kiongozi mmoja mkubwa katika nchi, na kundi la watu wakiwa wamevaa mavazi meusi wakiwa wanaelekea kule ambapo mwezi ule mmoja umeanguka na ile nyota .
Mwenye kufahamu na afahamu.
Aiseee imeisha hiyo
Nyota ni mtu.Yani Nyota ianguke Duniani kisha wewe upate sehemu ya kukimbilia?
Unaujua ukubwa wa Nyota lakini?
Tafuta kazi ya kufanya,Badala ya kufungua ID mpya ungefungua ukurasa mpya wa kuboresha maisha yako.
Mwezi ni mtu, kiongozi jinsia ya kike,