ApolloShadow
JF-Expert Member
- Jul 19, 2025
- 927
- 1,927
Naliona mwezi katika mawingu, na ghafla tukiwa tunatembea na mtu, ndipo nikamuambia angalia ule pale mwezi mwingine huo ni wa pili, nikawa nashangaa kwasababu haikuwa kawaida.
Ghafla mwezi mmoja ukaanguka chini na kulipuka kama bomu la nuklia, katika sehemu ya mji katika dunia hii.
Nikiwa naenda mbali na mji ule ili kujiepusha na athari za ule mwezi mmoja uliongukaz ghafla nikaona nyota ndogo pia ikianguka katika sehemu nyingine ya mji.
Ndipo nikaendelea mbele na safari ya kuwa mbali na athari ya vile vitu, ghafla nikaona kiongozi mmoja mkubwa katika nchi, na kundi la watu wakiwa wamevaa mavazi meusi wakiwa wanaelekea kule ambapo mwezi ule mmoja umeanguka na ile nyota .
Mwenye kufahamu na afahamu.