third eye chakra
JF-Expert Member
- Dec 27, 2023
- 919
- 2,155
1- Kwenda sokoni kununua bidhaa za nyumbani.
Kwangu hili jambo nigum sana kwasababu nashindwa kufanya mamuzi sahihi.
hii nibaada ya kundi kubwa la wafanya biashara mmoja baada ya mwingine kua kwenye tabiri yenye matarajio kwamba pesa yangu mimi mteja niyeye mwenye kustahiri kuipata kuliko mwingine.
2- Kukaa kitako au kushiriki maongezi na mtu anae lalamika muda wote wa maongezi yetu.
3- Kushiriki au kutoa msaada wowote wenye mtazamo wa kumchoma mwizi au kumpiga mawe hadi afe.
Hayo mambo3 kwangu mimi ndio mambo magumu sana.
Karibu sana nawe, utushirikishe mambo yako hapo chini kwenye comments.