englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,211
Unga wa ngano au wa sembe?
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Wauza unga na wazione hizi picha, kisha wajitathmini kama huko makanisani na misikitini sala zao zitawaokoa, hakika mungu atawapa adhabu stahiki
Aiseeeee.
IndeedHuyo dada wa 2000/2004 amepelekea siku hii kwangu ianze vibaya
better stick with 'thy leaf'
Mkuu hakuna dhambi kubwa na ndogo, nadhani umekurupuka ku comment, soma vizuri nilichoandikaDhambi zote sawa, maadamu umekatazwa kutenda matendo mabaya,acha,usichague wala kuweka madaraja ya dhambi/uovu.
Mkuu hakuna dhambi kubwa na ndogo, nadhani umekurupuka ku comment, soma vizuri nilichoandika