Haya ni maajabu ya tume ya ajira!!!!tutafika????????????? ??? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Haya ni maajabu ya tume ya ajira!!!!tutafika????????????? ???

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by msani, May 8, 2012.

 1. msani

  msani JF-Expert Member

  #1
  May 8, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 1,430
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  wakuu,heshima mbele!!!
  nimekuta tangazo la kuwaita watu kwenye interview kwa mwezi wa tano(may) ila kilichonisikitisha ni haya masharti ya kwenda kwenye interview:::

  Wasailiwa wanashauriwa kuzingatia yafuatayo:
  1. Kuja na vyeti Halisi (original certificates) za kuanzia kidato cha nne, sita,
  Stashahada, Stashahada ya Juu, Shahada na kuendelea kutegemeana na
  sifa za mwombaji.
  2. “Transcript”, Testmonials”, “Provisional Results”, “Statement of results”,
  hati matokeo za kidato cha nne na sita (FORM IV AND FORM VI RESULTS
  SLIPS) HAVITAKUBALIWA.
  3. Kila msailiwa aje na picha moja (Passport size).
  4. Kila msailiwa atajigharamia kwa chakula, usafiri na malazi.
  5. Kila msailiwa azingatie tarehe na eneo alilopangiwa
  6. Kila msailiwa aje na cheti halisi cha kuzaliwa (Original Birth Certificate)
  7. Wale ambao majina yao hayakuonekana katika tangazo hili watambue kuwa
  maombi yao hayakufanikiwa na wasisite kuomba mara nafasi za kazi
  zitakapotangazwa tena.

  swali langu:
  je kati ya academic results na leaving certificate kipi ni halali kutumia!!!!!!
   
 2. Polisi

  Polisi JF-Expert Member

  #2
  May 8, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,087
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  ahaa na nyie vijana sasa mnatuchosha. kwa nini hamshauriki? utata hapo uko wapi? sasa wewe unang'ang'ania uende na leaving/ academic results, za nini?
   
 3. msani

  msani JF-Expert Member

  #3
  May 8, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 1,430
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  mkuu taratibu,hivi ni vyuo vingapi wanatoa wanatoa papo hapo unapomaliza chuo,au wanatoa transcript,pia cheti hakioneshi matokeo bali transcript ya chuo!!!
   
 4. K

  Kifulambute JF-Expert Member

  #4
  May 8, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,506
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  wee kaa kimya kuna watu wanavyo wataajiriwa na ukipata na wewe chja kwako utafute kazi
   
 5. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #5
  May 8, 2012
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 8,998
  Likes Received: 582
  Trophy Points: 280
  mkuu una level gani ya elimu? samahan kwa swali hilo, ila litasaidia namna yakukupatia majibu.
   
 6. bibliography

  bibliography JF-Expert Member

  #6
  May 8, 2012
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 608
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 60
  kazi zipi tena hizo walizotoa majina?au weka ni gazeti gani mkuu tuangalie kama tuko kwenye ufalme
   
 7. msani

  msani JF-Expert Member

  #7
  May 8, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 1,430
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  mkuu mie sijasoma bana ila nimesikitika kuona kuwa kuwa watu wanashindwa kuajiriwa kwa kuwa hawana vyeti huku wakiwa na transcript halali za chuo lkn pia haohao utumishi wanaajiri walimu bila hata transcript na mtu anaonesha transcript anaporipoti kwenye kituo cha kazi!!!!!je sera ni ipi inayofanya kazi kwa walimu na kwa watu wa kada zingine!!!??
   
 8. andishile

  andishile JF-Expert Member

  #8
  May 8, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 1,430
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  sasa cha ajabu ktk hilo tangazo lao ni nini?mbona linaeleweka,wewe kama huna hivyo vinavyotakiwa,wapo ambao wanavyo!
   
 9. ummu kulthum

  ummu kulthum JF-Expert Member

  #9
  May 8, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 2,791
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  zumbemkuu pole,mdogo wangu amemaliza tia mpaka sasa vyeti havijatoka mpaka mwaka uishe kila anapopeleka trascript anaambiwa alete cheti.ni mfumo mbovu huu sa sijui ni serkali au chuo
   
 10. P

  Pokola JF-Expert Member

  #10
  May 8, 2012
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 717
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Mshafanya JF kuwa facebook. Kuna malalamiko ya kitoto jamani mods mko wapi?? Mnatuchosha macho na akili nyie watoto mliomaliza vyuo!!

  :yawn:
   
 11. GREATTHINKERMAN

  GREATTHINKERMAN Member

  #11
  May 8, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 52
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Kama hauna si ukae kimya, mbona hapo hakuna kitu cha kushangazi. Au ulikosa kitu cha kuongelea??????????
  Ushauri wangu, nenda mpaka na madaftari uliyotumia chekechea mpaka ulipoishia kielimu. Kuhusu kuzaliwa hapo sina ushauri.
   
 12. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #12
  May 8, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  kwani umelazimishwa kusoma na kucomment? Shida ipo kwenye transcripts, kwani kwenye tangazo la ajira hawazikatai...ila likija suala la usahili hawazitaki...huu ni wendawazimu, wawe na msimamo mmoja basi.
   
 13. s

  simon james JF-Expert Member

  #13
  May 8, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 283
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Haha UDOM hawajatoa Transcript wala Vyeti kwa wahitimu wa mwaka jana. Poleni sana wa UDOM na wengine ambao hamjapewa vyeti. Tangazo hli haliwahusu
   
 14. SG8

  SG8 JF-Expert Member

  #14
  May 8, 2012
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 3,198
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 160
  Utumishi ya wapi inayoajiri Walimu? Walimu wanafanyiwa Usaili wapi? Endelea tu kulalamika na ukipata transcript utaomba kwa wakati wako. Kama unajilinganisha na Walimu kwanini wewe bado upo mtaani na wenzio wapo kwenye ajira msani?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. Baba Mtu

  Baba Mtu JF-Expert Member

  #15
  May 10, 2012
  Joined: Aug 28, 2008
  Messages: 881
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Jamaa mmoja alikosa kazi kwa kuwa hakuwa na cheti orijino, alikuwa na akademiki
   
 16. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #16
  May 10, 2012
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Ndio RPC na mbweta lako kama kawa kama dawa.
   
 17. m

  mmteule JF-Expert Member

  #17
  May 11, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 1,004
  Likes Received: 619
  Trophy Points: 280
  mtoa mada hana mantinki. kama vipi wewe nenda na unavyoona vinafaa hata madaftari na unifform na kitambulisho pia beba mkuuu halafu ndio utoe hizo mada zako.
   
 18. M

  MWENDAKULIMA JF-Expert Member

  #18
  May 11, 2012
  Joined: Jul 17, 2009
  Messages: 961
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35

  Hakuna kati ya hivyo kinachoruhusiwa kulingana na tangazo.Au ni wapi hukuelewa?
   
 19. MAKOLE

  MAKOLE JF-Expert Member

  #19
  May 11, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 601
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Sasa na wale wa UDOM ambao tayari wana ajira? au we unadhani walioko UDOM wote walia njaa?
   
 20. Jp Omuga

  Jp Omuga JF-Expert Member

  #20
  May 18, 2012
  Joined: Jan 16, 2012
  Messages: 2,671
  Likes Received: 822
  Trophy Points: 280

  Tafadhali MSANI ebu rudia kusoma hiyo sehemu yenye rangi ya bluu.....Nadhani hawataki viambatanisho vilivyotajwa hapo tuu...na si kwa level ya vyuo...Plz Nikosoe kama nimekosea kuisoma thread yako!
   
Loading...