Haya ndo maumbile waliyoumbiwa wanawake. Mtatulaumu bure Wanaume

Mtoa mada tushakuelewa kuwa wewe ni mzee wa ka1 tu kama nguruwe.

Pole sana Chifu, ukikutana na Dada/Mama zetu waliokulia kanda ya ziwa, basi uje utupe mrejesho hapa hapa JF kwamba ulitoka nduki Gest ukiwa na boxer tu kwa kukutana na Wanawake aina ya "kazi ni kazi" kitandani hadi ukachemka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
20181212_143049.gif
 
Sio kweli na sio wote, ila ukweli ni kuwa kila mwanaume anavutiwa na aina fulani ya mwanamke, mfano, kwenye body kama mtoa mada, lakini wengine colour , utasikia cheupe, nk, wengine height tu, kwake shida. Hivyo mtoa mada yupo sahihi kuelezea hisia zake na ofcourse wapo wengine pia ambao amewawakilisha pia.

Lakini ukweli halisi kuna kundi lingine kubwa tu la wanaume, halitaki kugusana ama kusogeleana kimwili na hao ambao mtoa mada huwezi kumwambia kitu, yeye huko kafa anasubiri kuzikwa.

Hivyo Hornet , kuwa na amani, muelewe mtoa mada, ana uhuru wa kujisemea ni nini anapenda kwa hizo anga, lakini haimanishi kuwa anawakilisha wanaume wote.

Aaah nikajua ni mawazo ya wanaume wa jf

Kumbe siyo!
Wacha nipasuke tu
 
Ila wanaume ni wanafki jamani basi tu,

Ukiwa mnene kutwa kusimangwa unajiachia
Ukikonda kutwa kusimangwa!!!

haha...binadamu tuna tabia ya kupenda vitu ambavyo hatuna...usishangae hata mtoa mada akawa na kamke kapotability! ila michepuko ndio "standadi geji"
 
Ila wanaume ni wanafki jamani basi tu, Ukiwa mnene kutwa kusimangwa unajiachia Ukikonda kutwa kusimangwa!!!

Alichokisema yuko sahihi kabisa. Ujue ttz sasa tunaishi kwa kuigiza. Mwafrika kawaida na utamaduni wake ni wanawake wenye miili. Mwanamke mwembamba hakukataliwa lkn mwanamke mwenye mwiili kiasi na kalio zuri anapendwa zaidi. Sasa shida saiz watu (wanawake na wanaume pia) wanaiga maumbile ya wazungu. Lkn asili yetu hasa ni mwanamke aliyejazia vzr ndo tunapenda
 
Kila mtu ana sifa zake,vibonge wanaweza na kupenda ile miondoko ya R&B na hawa vimbau mbau miondoko yao ni mchiriku ama singeli,hivyo uamuzi ni wako
 
Back
Top Bottom