Haya ndo maumbile waliyoumbiwa wanawake. Mtatulaumu bure Wanaume

Chagua ipi inakufaa
1. Heri sana ya Mvua kuliko upate umande.
Au
2.Heri nusu ya shari kuliko shari kamili.
 
Mbona rahisi sana? Mi hawa huwa nawagonga kwa styles zote bila shida kabisa. Basi tu watu hawawajulii... Tuulize sisi walaji 😁😁😁

Wenye mitako mikubwa shida inakuja kwenye kuwabinua, kuna style zingine mpaka uingize izame ni shughuli pevu.
 
Wanaume hatupendi mwanamke awe na kitambi. Maybe niseme hivyo mimi..ila napenda mwanamke awe na paja kubwa....

Ila wanaume ni wanafki jamani basi tu,

Ukiwa mnene kutwa kusimangwa unajiachia
Ukikonda kutwa kusimangwa!!!
 
Ila wanaume ni wanafki jamani basi tu,

Ukiwa mnene kutwa kusimangwa unajiachia
Ukikonda kutwa kusimangwa!!!

Sio kweli na sio wote, ila ukweli ni kuwa kila mwanaume anavutiwa na aina fulani ya mwanamke, mfano, kwenye body kama mtoa mada, lakini wengine colour , utasikia cheupe, nk, wengine height tu, kwake shida. Hivyo mtoa mada yupo sahihi kuelezea hisia zake na ofcourse wapo wengine pia ambao amewawakilisha pia.

Lakini ukweli halisi kuna kundi lingine kubwa tu la wanaume, halitaki kugusana ama kusogeleana kimwili na hao ambao mtoa mada huwezi kumwambia kitu, yeye huko kafa anasubiri kuzikwa.

Hivyo Hornet , kuwa na amani, muelewe mtoa mada, ana uhuru wa kujisemea ni nini anapenda kwa hizo anga, lakini haimanishi kuwa anawakilisha wanaume wote.
 
USILAZIMISHE MATAMANIO YAKO YAWE SAWA NA YA WENGINE.

Nani kakudanganya kuwa 80% ya Wanaume hupenda Wanawake mabonge?

Mimi mwenyewe tu najichukia kunenepa hata kidogo, sasa huyo Bonge wa kazi gani ikiwa nilishaambiwa nimpende jirani yangu kama ninavyojipenda mimi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukitaka MADHAIFU ya hao mabonge yako ni kuwa wengi wao hu..ka sana sehemu zao za siri tokana na msuguano wa manyama uzembe na jasho jingi linalotiririka kuingia sehemu zao za siri.

Pia wengiwao ni wavivu sababu hukaa kama gunia kitandani na huwa na maji mengi sana kulingana na ukubwa wa miili yao.




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom