Haya Ndo Mapenzi

Haya Ndo Mapenzi

Wamarekani kwao maisha ni chochote muziki unaweza ukamfanya akaacha shule haya waige tu baadaye ukikumbuka muda hautakuwa rafiki tena.
Nadhani uelewa wako wa maswala ya fasihi na thamani yake kwenye jamii ni hafifu kidogo. Kama nilivyokwisha kukuambia, mie siko kwenye ngazi uzifikiripo wewe. Nimepata mafanikio ya kutosha kwenye elimu, na Mungu si Athumani, bado naendelea kupambana. Kama wewe umeambiwa waandishi wa mashairi ni wehu, basi tuachie sisi. Kajifunze ujue ni kitu gani kilichompatia Shaaban Robert na malenga wengine heshima duniani. You can be better than that brother.
 
Mtoa mada uko deep. Endelea.....ili nipate kujua dalili ya mapenzi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom