Haya ndo Mahindi ya Dar!

Haya ndo Mahindi ya Dar!

Utakuta hindi limetoka mkoani linakaa hadi siku mbili ndo linachomwa unafikiri kwa nini lisibustiwe na hayo makorokocho, huku mikoani hindi likilala siku moja halichomwi maana linakuwa limepoteza radha yote
 
Back
Top Bottom