Thad mwenyewe naona yupo humu humu anapita tu kimya kimya, ametafuna mpunga anasema muamala hewa. Mtuhurumie basi wakati mwingine.
Naamini uko vizuri kabisa rafiki.
Hivi hiyo kesi yenu haijaisha bado??
Nafurah kusikia kama u mzima
Kesi iliisha, sema anataka kuni blackmail. Si unaona bado ana chenji ya kununulia mahindi ya Dar?
Mtumie muamala wa ukweli sasa hivi ili asahau ule wa kwanzaNingemtapeli angenifungulia uzi kama sio nyuzi.
Mtumie muamala wa ukweli sasa hivi ili asahau ule wa kwanza
Full pilipili hoho jaman ....kaazi kwelikweliMahindi yenye "vaitamins" zake,.



Hivi mnanitaka nini lakini? Wakwanza wenyewe alitafuna mpunga, sasa nimtumie tena wapili, alaf mbona kama upo upande wake?
Kwani wewe rafiki yangu au rafiki yake? hahahahahahahaaa
Wa kwanza anasema ulirudisha muamala eti ulikosea namba ukamuacha na madeni,sasa inabidi utume mwingine tena u double amount ya ule wa kwanza.
Mimi ni rafiki yako na rafiki yake pia![]()
Rangi ya chama chetu,hahahaa...hujambo Madame? Muda wa kulala sasa huuHiyo kijani ni nini
Huo unaitwa ubunifu chiefJamani hindi la kuchoma linawekwa salad!!!!!????
Yaani imesahaulika nazi tuu shogaa,.Full pilipili hoho jaman ....kaazi kwelikweli
Sjambo za ww?? Nalala mda s mref nasubiri mtu aje tuaganeRangi ya chama chetu,hahahaa...hujambo Madame? Muda wa kulala sasa huu
Mimi niko poa kabisaaSjambo za ww?? Nalala mda s mref nasubiri mtu aje tuagane
Ayaa zimefika salaaamMimi niko poa kabisaa
Mpe Hi
Yaani dohYaani imesahaulika nazi tuu shogaa,.
Kweli kabisaHaya si ya dar itakuwa wa mkoani alitaka kuiga ya dar ndo katia mbwembwe hzo.