Haya ndo Mahindi ya Dar!

Haya ndo Mahindi ya Dar!

Mikoani ukilipata kama hilo njoo nikupe zawadi hayo yanatumwa kwa wasomi, wenye pesa watu wa darisalamaa
 
Watu wa dar wengi wao laini laini mno
Watu wa Dar wengi walikuwa wa mikoani zamani na hata sasa wa mikoani wengi wana ndoto ya kuwa wa Dar. Ila Mtu wa mikoani kumchukia wa Dar, hakutampunguzia huo uumkoani wake.
 
Baada ya kuongezeka kwa tatizo la nguvu za kiume dar sasa kuna ukosefu wa nguvu za kinywani!
 
Duuuh mahindi wanakula na mboga za majani, hii sasa kali jamaaaaa
 
Watu wa Dar wengi walikuwa wa mikoani zamani na hata sasa wa mikoani wengi wana ndoto ya kuwa wa Dar. Ila Mtu wa mikoani kumchukia wa Dar, hakutampunguzia huo uumkoani wake.

Watu wa dar mnajiona sana, utadhani mnaishi nchi za waarabu/Dubai or Muscat bana.wakati mnaishi kwenye mbu wengi na sehemu nyingi chafu chafu 😀
 
Watu wa Dar wengi walikuwa wa mikoani zamani na hata sasa wa mikoani wengi wana ndoto ya kuwa wa Dar. Ila Mtu wa mikoani kumchukia wa Dar, hakutampunguzia huo uumkoani wake.

Alafu kwanini mkipanda ndege za nje mnajipiga selfie? Hamuoni aibu!!! Mnatudhalilisha sana watu wa mikoani, mwingine anapanda na samaki..huu ni ujinga kabisa 😀
 
Back
Top Bottom