Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,652
Hakika huyu ni mjasiriamali haswa!Value added products
Hakika huyu ni mjasiriamali haswa!Value added products
Naona umejitolea kuwa mtetezi waoNitaachaje kuwatetea wakati ndio wananiweka mjini....![]()

Ewaaaa! Kwahiyo ukikata vipande vidogo dogo ukavichomeka kwenye hindi vitanoga sana!Wooi,..anachonnogea pweza hana miba bwana..ana vipelevipele tuu mgongoni..![]()

nauli yako tu na usiwe unavaa mabwanga wala nguo za vitenge mkuuAsante! Ulitakiwa uwe mwenyeji wangu unioneshe mji wa mzizima vzr
Yaani mate yashanijaaa kwa hamu,..afu ile supu ya pweza uimwagie juu ya hindi kidoogo kwa juujuu heheeehe...jamaniiiii sio kunogaaa,.Ewaaaa! Kwahiyo ukikata vipande vidogo dogo ukavichomeka kwenye hindi vitanoga sana!![]()


kitambo sana,nadhani hata nilikuwa sijielewi,yaani tangu that time until today kama haujawi kurudia kwenda huko ni kama haujawahi kwenda tu,maana kila kitu kitakuwa kimebadirika,kuanzia watu,majengo na mzingira tu kiujumla..Ndio bro. Kuna tatizo ?
Ushanitia hamu mie, ngoja niingie mtaani nikaisakeYaani mate yashanijaaa kwa hamu,..afu ile supu ya pweza uimwagie juu ya hindi kidoogo kwa juujuu heheeehe...jamaniiiii sio kunogaaa,.![]()

Namm ngoja niende kwa mpemba,.hamu hii si ya kulala nayo kabisaaa,.Ushanitia hamu mie, ngoja niingie mtaani nikaisake![]()
![]()
Ushanitia hamu mie, ngoja niingie mtaani nikaisake![]()
![]()
Ndio! Nikipata nikuonjeshe?Ati! mahindi na supu ya pweza?

Yaani mate yashanijaaa kwa hamu,..afu ile supu ya pweza uimwagie juu ya hindi kidoogo kwa juujuu heheeehe...jamaniiiii sio kunogaaa,.![]()
Ati! mahindi na supu ya pweza?
Ndio! Nikipata nikuonjeshe?![]()
Rafiki upo??
Nipo..hii salam hii, najua tu unachokitafuta. Leo jisahaulishe basi.