

Umeona eeeh! Hapo wamesahau kutupia na vijipande vya pweza ili liwe mlo kamiliMahindi yenye "vaitamins" zake,.

Huo nao ni ubunifu wa hali ya juu. Nasikia hata chips mayai asili yake ni DarMahindi ya dar yanaliwa kwa ndimu na pilipili![]()

1985 bro?Mahindi kama hayo nakumbuka niliwahi kula 1985 wakati nipo kule Durban.





Huo nao ni ubunifu wa hali ya juu. Nasikia hata chips mayai asili yake ni Dar![]()
Hayo maneno ya kuwa hawana nguvu yapuuze kabisa, yanaenezwa na wa mikoani kwa wivu wao dhidi ya wa dar.Sasa unafikiri chips yai asili yake itakuwa koromije?
Hayo mambo ni dar ndo maana nasikia hawana nguvu![]()

Hayo maneno ya kuwa hawana nguvu yapuuze kabisa, yanaenezwa na wa mikoani kwa wivu wao dhidi ya wa dar.
Usiombe kukutwa na nguvu za wala chips wa dar, hutakaa urudi tena mikoani!![]()




naona unawatetea wanaume wa dar,wazee wa kuunga mahindi choma kwa ndimu na pilipili
Value added productsMahindi ya Dar!
Ndungu zangu wa mikoani ndo haya ndugu zetu wanajua kuunga unnga kwa kila kitu kuanzia maisha mpaka chakulaView attachment 812773
Nitaachaje kuwatetea wakati ndio wananiweka mjini....naona unawatetea wanaume wa dar,wazee wa kuunga mahindi choma kwa ndimu na pilipili

Ndio bro. Kuna tatizo ?1985 bro?
Wooi,..anachonnogea pweza hana miba bwana..ana vipelevipele tuu mgongoni..Umeona eeeh! Hapo wamesahau kutupia na vijipande vya pweza ili liwe mlo kamili![]()
