Haya ndiyo matokeo ya kukimbia shule, masikini CHADEMA...

Nape ni mtu wa ajabu kweli waliokimbia shule ni CHADEMA au ni akina AMINI na vyeti vya kuunganisha na gundi ndani ya CCM tukianza kuuliza kuhusu elimu watabaki wachache kwani hata huyu Dr. JK hajui presentation za hiyo Phd zinafanywaji coz kabeba title kubwa kuliko uwezo wake wa akili. Jipange
 
Mtumishi wa Umma anatakiwa kuhudumia wananchi wote bila ubaguzi wa Vyama, Ukabila, Udini... Nape hujajibu hoja ya msingi? Mkataba wa Ajira hauna sahihi ya Katibu Mkuu CCM au CHADEMA sheria, kanuni na miongozo ya PSRC, izingatiwe.
 
Najua huu ni uchokozi unaofanyika hapa na lengo kuu ni kuondoa watu kwenye hoja za muhimu.
Sizani kama interms of class Nape unamfikia Mnyika ila sababu ni maoni yako na kuvuta watu kutoka kwenye mambo ya muhimu haina tabu

Pili hebu mpe John Myika hata muda katoka leo kweye kesi yenu ya uongo

waweke hapa cv zao tujue maana cv ya Mnyika ya bungeni hainoneshi ilikuaje baada ya kumaliza form 6
 
Nimeipenda hii ila naongeza kuwa mnyika ana a plenty functioning gray matter
Insinuation hapa ni kwamba Mnyika ni kilaza.

Sasa kweli kabisa mtu na akili zako timamu unaweza ku imply kitu kama hicho?

Nnauye acha maskhara bana. Mpende usimpende dogo Mnyika has plenty of gray matter.
 
Huyu Nnauye nachokifanya ni kuwaondoa watu kwenye mijadala mizito niyohusu nchi na kuwapeleka kwenye vtu visisvyo vya msingi. mwacheni tu ila atakimbia nchi 2015 maana atakuwa na maisha magumu kupita hata haya tunayoishi ss.
 
mkuu nnauye jr

mnyika alimaliza darasa la saba mwaka 1994 : Akaongoza kitaifa
mnyika alimaliza form four mwaka 1998 : Akaongoza kitaifa

mkuu najua unatafuta attention ya mnyika lakini kajipange

by the way tuko bize tunajadili hoja ya mwana ccm mwenzako juu ya rais kukosa uhalali wa kutawala

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/196909-has-kikwete-lost-his-legitimacy-to-lead.html
kweli wana tofauti kubwa sana wakati nape tumemaliza naye nsumba alipata three ya 25 wala hakuwa mtu wa kuongoza hata darasa wakati mnyika aliongoza taifa zima.ni vema nape ajikite kwenye hoja nyingine sio ya darasani
 
kuna tatizo ndani ya CCM, Nape asipoangalia hii ndio itakuwa nafasi yake ya mwisho kubwa kuishika maishani mwake!
 
HAYA NDIO MATEKEO YA KUKIMBIA SHULE.
* * * ***masikini CHADEMA**

Nimesoma kwa mshangao sana hoja ya John Mnyika juu ya uamuzi wa CCM kusimamia ilani yake ya uchaguzi ambayo licha ya kuchaguliwa kihalali na wananchi mwaka 2010, utekelezaji wake utaleta mabadiliko katika maisha ya kawaida ya wananchi.

Bila shaka ni katika mtikisiko wa kukata roho kwa Chama mufilisi cha Chadema ndo maana viongozi wake sasa wana kurupuka kutoa matamko yasiyo na kichwa wala miguu katika kuhangaika kukata roho kwa kujidanganya kijinga tu kwamba wanaweza kuzuia nguvu ya timu mpya ya CCM ambayo bilashaka imewatia homa sana watani. Juhudi hizi ni sawa na kuzuia mafuriko kwa vidole..(poor Chadema, R.I.P Chadema).........

ahahahahahahaaa..... eti huyu ndio msemaji wa magamba, safi sana wanajichimbia kaburi wenyewe. Soon atakuwa muimba taarabu, mzee yusufu ajiandae kupata mshindani. Wana JF na Watz, huyu jamaa hayupo tayari kujifunza na kuelimika, tusiiumiize vichwa na kupoteza muda kujibu hoja zake. Pumba tupuu.
 
ahahahahahahaaa..... eti huyu ndio msemaji wa magamba, safi sana wanajichimbia kaburi wenyewe. Soon atakuwa muimba taarabu, mzee yusufu ajiandae kupata mshindani. Wana Jf na watz, huyu jamaa hayupo tayari kujifunza na kuelimika, tusiiumiize vichwa na kupoteza muda kujibu hoja zake. Pumba tupuu.

Zingekuwa PUMBA KWANINI UNATOA MAPOVU?BWANA ZAKO WANASHINDA KWENYE THREADS ZA DOGO.....
 
kweli wana tofauti kubwa sana wakati nape tumemaliza naye nsumba alipata three ya 25 wala hakuwa mtu wa kuongoza hata darasa wakati mnyika aliongoza taifa zima.ni vema nape ajikite kwenye hoja nyingine sio ya darasani

Ziro kweli WEWE KWANI HUJUI WASIOFANYA VIZURI DARASANI NDIO VIONGOZI NA WALIOFANIKIWA HATA KIMAISHA?KOFFI ANNAN UNAJUA ALIFELI SHULE?BILGATES UNAJUA HAJASOMA KIHIVYO? AFTER ALL NAPE KAMALIZA MPAKA DEGREE YA PILI, MNYIKA MOIA TU ILIMSHINDA KUMALIZA!!!

SITASHANGAA MAISHA YAKO ULIYEPATA ONE NSUMBA YAKAWA DUNI NDO MAANA UNA MUONEA WIVU NAPE.... Nyambafu!!!
 
naomba kujua huko nec mwekiti ni mbowe na kama chama kinasimamia serikali ulitalajia wakutane wapi kweli shule muhimu
 
Nape ni mtu wa ajabu kweli waliokimbia shule ni CHADEMA au ni akina AMINI na vyeti vya kuunganisha na gundi ndani ya CCM tukianza kuuliza kuhusu elimu watabaki wachache kwani hata huyu Dr. JK hajui presentation za hiyo Phd zinafanywaji coz kabeba title kubwa kuliko uwezo wake wa akili. Jipange

Ni kweli, mtu au taasisi ikikupa PHD ya BURE maana yake ni kwamba, wanajua huwezi kuipata kwa namna yeyote ile.
or IF YOUR GIVEN A FREE DEGREE IT MEANS THEY DONT TRUST YOUR ACADEMIC PERFOMANCE.
 
Ziro kweli WEWE KWANI HUJUI WASIOFANYA VIZURI DARASANI NDIO VIONGOZI NA WALIOFANIKIWA HATA KIMAISHA?KOFFI ANNAN UNAJUA ALIFELI SHULE?BILGATES UNAJUA HAJASOMA KIHIVYO? AFTER ALL NAPE KAMALIZA MPAKA DEGREE YA PILI, MNYIKA MOIA TU ILIMSHINDA KUMALIZA!!! SITASHANGAA MAISHA YAKO ULIYEPATA ONE NSUMBA YAKAWA DUNI NDO MAANA UNA MUONEA WIVU NAPE.... Nyambafu!!!
Hebu rudi kwenye hoja ya msingi ya nape, yeye ndiye aliyeanzisha hoja ya elimu, akidai kwamba "mnyika na chadema warudi shule" ila pia naomba nikusaidie upate kuelewa, watu wote waliofanya mambo makubwa ilitokana na uwezo wao mkubwa wa kielimu, ingawa nadhani unachanganya mambo kati ya kwenda shule kama huyo ndugu yako "Mzee wa Magamba" ambaye unadai licha ya uwezo wake mdogo amesoma mpaka masters, na kuelimika kama kina mnyika na wengine ulio waorodhesha hapo juu. KIFUPI NDUGU YAKO AMEENDA SHULE, ILA SINA UHAKIKA KAMA AMEELIMIKA, Let us assess his work may be we can agree on something about his education comparing to Mr. Mnyika.
 
Ametoa vihoja vichache ambavyo havina nguvu ya ushawishi,then akacopy strong point za jj,ambazo ukiangalia unaona kabisa jamaa wanafikiria vice versa(inawezekana ubongo hauko kichwani).Hawataki tu kukubali kuwabana watumishi wa umma inadhihirisha udhaifu mkubwa wa mawaziri na waziri mkuu(mtoto wa masaki)maana ofisi hizi za serikali ziko chini na mawaziri na wizara husika,kwahiyo hoja zote za utekelezaji wa ilani ya chama zinapaswa kupatiwa majibu na viongozi hao na si meneja wa TANROAD ambaye kimsingi anaweza hasiwe mwanachama wa chama chochote cha siasa.
 
Huyu kwanza si atakuwa amesoma India kwa kukosa nafasi vyuo vya maana hapa nchini kama udsm? na hata huko India si nasikia ana gentleman?
 
Huyu kwanza si atakuwa amesoma India kwa kukosa nafasi vyuo vya maana hapa nchini kama udsm? na hata huko India si nasikia ana gentleman?
 
Back
Top Bottom