Haya ndiyo matokeo ya kukimbia shule, masikini CHADEMA...

ingawa nmechelewa kuingia kwenye huu uzi lakini ningependa kujua Nnauye Jr ameandika nini! maana hata mdogo wangu ambae ni kiranja mkuu shule ya kata hawezi kuandika hivi!
kwenye uzi huu wa nape hakuna hoja yoyote zaidi ya mipasho!
tittle na content haviendani hata kidogo!
naomba mnisaidie wadau kulinganisha alichoandika Nauye na Mnyika nani kati yao ni kiongozi?
Dhaifuu
 
Last edited by a moderator:
Wana JF msisumbuke na huyu ntu mbaye jina lake ni NAPE. Muulizeni maana ya jina lake kama atakuwa na ujasiri wa kuendelea kuonekana humu.Labda kweli alienda shule lakini ni hakika huyu ntu hajaelimika,hata kwa elimu ya ngumbalu.
 
Mnyika siyo graduate alipata division three pale tambaza akadanganya ubungo wakati wa kampeni eti alipata division 1 ya point 3. Alijaribu bahati yake masomo ya jioni pale mlinani na hakupata cheti ingawa anapoteza muda mwingi kumtukana rais kumwita dhaifu. Wakazi wa ubungo hatutavumilia hili kuna siku atatueleza udhaifu wa rais yeye mwaka wa tatu huu wa ubunge hata anenepi kwa sababu ya umbea au mwasilika???
 
Hakuna Mahala popote ambapo Mnyika alishasema kwamba alipata div one ya ponit tatu (1.3) hakuna. By the way unaonekana unajali sana Darasa unaweza kutupa Matokeo ya Mnyika Darasa la saba na Form Four. Mkuu Mguu mlioanza nao Masalia wa Kumshambulia Mnyika mtaumia sana.

Katika Umri wake Mdogo, Katika kipindi chake kifupi bungeni amesha accomplisha Mambo mengi sana tofauti na Wazee akina Sitta ambao wanataka kufia Bungeni.
 
Hakika we kichwa yaani nape kajikusanya weee kaja na utumbo ambao umejibiwa kitaaluma. Kweli la kuvunda halina ubani nape wewe kweli u makini mbona mifano yako inaonyesha huna hoja za msingi kijana kama wewe ni vyema ukasimamia mambo ya msingi yenye tija kwa nchi tunakupenda sana nape kwani wewe ni mojawapo wa vijana wanasiasa ambao ni mfano kwa wakati ule lakini sasa umepoteza mwelekeo kwakuwa sasa umeweka maslahi yako mbele kuliko nchi na vijana wenzako hawa si wapinzani hawa ni machalenja chukua hoja zao fanyia kazi. Tutakukumbuka kwa lipi nape?
 
Mnyika siyo graduate alipata division three pale tambaza akadanganya ubungo wakati wa kampeni eti alipata division 1 ya point 3. Alijaribu bahati yake masomo ya jioni pale mlinani na hakupata cheti ingawa anapoteza muda mwingi kumtukana rais kumwita dhaifu. Wakazi wa ubungo hatutavumilia hili kuna siku atatueleza udhaifu wa rais yeye mwaka wa tatu huu wa ubunge hata anenepi kwa sababu ya umbea au mwasilika???

be polite to other people,this is not personal property,it belong to people who posses super skills,mind you,in any gumble looser are always complex,be smart we are overseeng your reaction.whatch your abussive word,we are politian employer,we cant stand your insane,naive approaches,please shut up if you cant restrain the stage,
 
Back
Top Bottom