Haya ndiyo maisha wanayoyataka masuperstar wa bongo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Haya ndiyo maisha wanayoyataka masuperstar wa bongo

Discussion in 'Celebrities Forum' started by papag, Jan 26, 2012.

 1. papag

  papag JF-Expert Member

  #1
  Jan 26, 2012
  Joined: Jul 31, 2009
  Messages: 688
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 45
  [h=2]ednesday, January 18, 2012[/h] [h=3]........SHILOLE YUKO KWENYE WAKATI MGUMU........[/h] [​IMG] 6:55 PM [​IMG] wajanjaclub

  [​IMG]
  [FONT=&quot]MSANII nyota wa filamu Zena Muhamed ‘Shilole’, yupo katika wakati mgumu kimaisha kwani anadaiwa zaidi ya sh, Milioni 6, kama kodi ya nyumba anayoishi huku akiwa na madeni kwa baadhi ya majirani zake ambapo amepewa muda wa mwezi mmoja awe amelipa pesa hizo.

  Msanii huyu anaishi nyumba ya kupanga maeneo ya kinondoni, na inadaiwa kuwa hakulipa kodi kwa muda mrefu kwa kile kinachodaiwa kuwa alikuwa na matatizo ya kifamilia nyumbani kwao Arusha ndiyo maana hakuweza kulipa kodi hiyo.

  Akizungumza Jijini Dar, ili kueleza ukweli wa habari hizo Shilole, alisema ni kweli anadaiwa lakini yupo katika mchakato wa kulipa pesa hizo kwani kwa muda mrefu alikuwa akituma pesa nyumbani kwao kwa ajili ya matibabu ya ndugu zake.
  Alisema kuwa tangu June mwaka jana hakulipa kiasi cha pesa alichokua akidaiwa hivyo mama mwenye nyumba amempa muda wa mwezi mmoja awe ametoa pesa hizo.

  “Jamani ni kweli nadaiwa pesa hizo, lakini nilishindwa kulipa kwani ndugu zangu walikuwa wanaumwa hivyo pesa zote nilizitumia kwa ajili ya matibabu,” alisema.
  Hata hivyo aliongeza kuwa baadhi ya majirani zake wanamdai zaidi ya shs laki 7, ambapo hajui atazitoa wapi kipindi hiki ambacho yupo kwenye matatizo kama hayo.[/FONT][FONT=&quot][/FONT]​
   
 2. Deodat

  Deodat JF-Expert Member

  #2
  Jan 26, 2012
  Joined: Sep 18, 2008
  Messages: 1,279
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Tangu June mpaka leo deni limefika MIL 6, inamaana huyu analipa kodi karibu MIL 1 kwa mwezi? Inashangaza mtu ambaye hana kipato cha uhakika anapataje ujasiri wa kupanga nyumba ya gharama hivyo. Anyway, ni maisha yake, mwache akauze mbunye ili alipe hilo deni.
   
 3. M

  Marytina JF-Expert Member

  #3
  Jan 26, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,034
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  anatangaza hiviii MWANAUME MWENYE ELFU 50 AENDE AKASAIDIE FASTA
   
 4. s

  shosti JF-Expert Member

  #4
  Jan 26, 2012
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  mhhhh haya tena mazito....kwani lazima jamani!
   
 5. Mabagala

  Mabagala JF-Expert Member

  #5
  Jan 26, 2012
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 1,465
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  kumbe ni mzuri ivi. kwavile mwisho wa mwezi umekaribia ngoja nimtafute nimsaidie na mimi anisaidie kidogo
   
 6. only83

  only83 JF-Expert Member

  #6
  Jan 26, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Mpe namba yangu au mwambie aniPM nimpige tafu...kutoa ni moyo usambe si utajiri.
   
 7. Mwakalinga Y. R

  Mwakalinga Y. R Tanzanite Member

  #7
  Jan 26, 2012
  Joined: Oct 22, 2008
  Messages: 2,718
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Naombeni muweke contact zake tuweze kumsaidia mtoto mzuri hivyo hawezi dhalilika kwa kukosa mil 6 ambazo hata mbeba maboksi wa London hawezi zikosa.
   
 8. M

  Majala Kimolo JF-Expert Member

  #8
  Jan 27, 2012
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 344
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kumbe ndo huyu! si alisema mwaka mpya mambo mapya, kama huna mshiko wa maana usimsogelee! ama kweli debe tupu haliachi kutika. Ana shida ya hela, msanii uchwara, pdg wamesepa hawamlipii kodi. Anyway WaTz ni wakarimu, watamsaidia madhali kilio chake kimesikika. Pole Shilo le
   
 9. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #9
  Jan 27, 2012
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 145
  kumbe shilole ndo huyu? si alisema mtaji wake makalio?
   
 10. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #10
  Jan 27, 2012
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 0
  Kuna picha yake nyingine inayomuonyesha vizuri ilikuwa humu jamvini kipindi cha nyuma! Iwekeni ili mwenye chochote amsaidie! Inaonekana biashara yake ya k hailipi sana sasa hv!
   
 11. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #11
  Jan 27, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Mabinti kwa mitego ya kizamani hawaishi
   
 12. client3

  client3 JF-Expert Member

  #12
  Jan 27, 2012
  Joined: Aug 6, 2007
  Messages: 742
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  kwani kale ka bwana mdogo barnaba boy hakapo
   
 13. L

  Lil Walt New Member

  #13
  Jan 27, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mtaji anao msaada wa nini? Mtaji wa maskini ni nguvu zake mwenyewe!!
   
 14. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #14
  Jan 27, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Kupenda mambo makubwa wakati hawana uwezo, matokeo yake wanapata HIV.
   
 15. K

  Kiduku JF-Expert Member

  #15
  Jan 28, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 480
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  atavuliwa bikini sana mwaka huu
   
 16. Ziltan

  Ziltan JF-Expert Member

  #16
  Jan 28, 2012
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 1,350
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Dah! Maskini mbunye yake mwaka huu!!
  Si wataing'oa?
   
 17. RICH OIL SHEIKH

  RICH OIL SHEIKH JF-Expert Member

  #17
  Jan 28, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 882
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  aweke namba yake ya simu nimtumie tigo pesa 300,000/= apunguze hayo madeni ya mtaani; then nimuelekeze kwangu aje tuandae mchakato wa kulipa hiyo 6m. Mtoto ana booty huyu!
   
 18. RICH OIL SHEIKH

  RICH OIL SHEIKH JF-Expert Member

  #18
  Jan 28, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 882
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Mbunye haina gharama - Dawa yake maji tu mkuu
   
 19. tama

  tama JF-Expert Member

  #19
  Jan 28, 2012
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 604
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Mmmmmh jamani jamani haya kweli kuwa uyaone.........
   
 20. E

  Emamlwani Member

  #20
  Jan 28, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama kawaida
   
Loading...