Steven Robert Masatu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2009
- 2,458
- 1,826
Huyo anaitwa bruce wills nasikia ukibahatika kupiga nae picha siku zako za kuishi zinaongezeka.
acha uzushi huyo ni steven seagal aka yesu as per his movie ya miaka mwanzoni mwa miaka ya tisini au mwishoni mwa miaka ya themanini