je akitaka kutumia zaidi ya matundu uliyoyataja lakini akiacha hayo yaliyoshazibwa tayari.cacico wangu wa moyo, kwani nimekuziba pua na mdomo?
Basi pumulia hata matundu ya kwenye vinyweleo
taamu, humu JF kuna mipaka ya utani. Kwa jinsi ninavyoheshimiana na cacico hata mawazo yangu hayakufikiria kwa namna yako.je akitaka kutumia zaidi ya matundu uliyoyataja lakini akiacha hayo yaliyoshazibwa tayari.
Poa mkalinimesikia mkuu
Nipe namba yako ya m.pesa au tiGo pesa nikutumie au unatumia airtel money?
Mwaj sinauzwa wapi nami nataka !
Tuma m-pesa kwa namba niliyompa muuliza swali.
Risiti itamdai nani? JF raha tupu !