Haya ndio Matokeo ya JKT

Haya ndio Matokeo ya JKT

Kuna haja ya kwenda Israel kujifunza upya namna ya kuendesha JKT.
Wale waliokula chumvi lkiasi kama mimi wanajua JKT iliundwa kwa Model ya Jeshi la Israel.
Kule kwao Jeshi lao si la kula tu ni jeshi linalochangia pato la Taifa.
Jeshi la Israel limejkita kwenye kila aspect ya maisha ya watu,hakuna kitu ambacho hawafanyi.
JKT (Jeshi la Kula Tu)yetu ni la POLOLO.
 
Tunachokiumba hapo ni kitu kimoja hayari sana imagine wanawaona viongozi wetu wa kisiasa wana maisha mazuri kwa kila hali wao na familia zao na ndugu zao wa karibu, wao wako kitaa hawana kitu na wanasota na maisha, mafunzo wanayo mbinu wanazo akitokea kichaa mmoja akawabrainwash........!!!!!

mkuu mshana jr hongera sana kwa kuwa na mawazo mapana kiasi hicho,

wakina mbowe wanajaza matumbo yao tu, ona sasa mashavu yanavyotuna, kama paka wa tajiri,

na watu bila kutumia akili eti wanazani chadema inayoiponda ccm ikishika madaraka eti matatizo ya watanzania yataisha, waulize wakazi wa pemba eti na wao walifikiri kuchugua cuf matatizo ya umasikni wao utakishwa, thubutu...! kwa sasa wanabuluzwa kama siyo wenyewe na maisha yako pale pale.
 
Last edited by a moderator:
Kwani wengi wao si wamemaliza form6? Kwanini hawajaenda kujiunga na vyuo ht vya ualimu?

Huko ndio balaa, serikali ishasema imewashiba waalimu wa shahada! Sembuse wa stashahada
 
mkuu mshana jr hongera sana kwa kuwa na mawazo mapana kiasi hicho,

wakina mbowe wanajaza matumbo yao tu, ona sasa mashavu yanavyotuna, kama paka wa tajiri,

na watu bila kutumia akili eti wanazani chadema inayoiponda ccm ikishika madaraka eti matatizo ya watanzania yataisha, waulize wakazi wa pemba eti na wao walifikiri kuchugua cuf matatizo ya umasikni wao utakishwa, thubutu...! kwa sasa wanabuluzwa kama siyo wenyewe na maisha yako pale pale.

Kwahio we unataka CCM iendelee?
 
Dada, hapo Mbowe anahusika vipi na ajira za hao kwa sasa ?
 
Last edited by a moderator:
Tunachokiumba hapo ni kitu kimoja hayari sana imagine wanawaona viongozi wetu wa kisiasa wana maisha mazuri kwa kila hali wao na familia zao na ndugu zao wa karibu, wao wako kitaa hawana kitu na wanasota na maisha, mafunzo wanayo mbinu wanazo akitokea kichaa mmoja akawabrainwash........!!!!!

yaan hapo tuome Mungu asije akatokea jamaa mmoja mwenye pesa akaamuwa kupata ufadhili wa silaha na akawakusanya vijana wote hawa na kuingia nao Msituni hapo ndipo serikali itawakoma.
..
 
mkuu mshana jr hongera sana kwa kuwa na mawazo mapana kiasi hicho,

wakina mbowe wanajaza matumbo yao tu, ona sasa mashavu yanavyotuna, kama paka wa tajiri,

na watu bila kutumia akili eti wanazani chadema inayoiponda ccm ikishika madaraka eti matatizo ya watanzania yataisha, waulize wakazi wa pemba eti na wao walifikiri kuchugua cuf matatizo ya umasikni wao utakishwa, thubutu...! kwa sasa wanabuluzwa kama siyo wenyewe na maisha yako pale pale.

Pamoja na kunipongeza sikuwa na maana hiyo ya kwako
 
Last edited by a moderator:
Ni muda mwafaka kwa serikali kuagiza makampuni yote ya ulinzi kuwaajiri vijana walitoka JKT kwa utaratibu wa hiari (volunteers)

SURUMA;
Na hawa mgambo wanaofunzwa huku kwetu waende wapi??? Serekali ijue kuwa wanawaandaa majambazi na majangili tuuu. Watafute njia nyingine kama kuwafunza miradi mbali mbali na kuwapatia mikopo yenye masharti nafuu. Wapewe kama saccoss ya wanajeshi hivi.
Vinginevyo wawape tu za moto waingie huko Masaki kuuliza vyao. Tz kila kitu ni kutafutia namna ya kuvuta mda tu
 
mtoto analilia nn?
mtoto analilia jeshi x2
muache aone mwenyewe,muache aone mwenyewe
na pushapu atapigaa
na kichura ataruka x2
na kucrawl ata crawl x2
na m...vini ataogaaa
daaaaaah jeshi raha sana asikwambie mtu ila kugangamala must
 
Back
Top Bottom