Haya ndio matatizo makubwa kwa mwanaume yoyote duniani

Haya ndio matatizo makubwa kwa mwanaume yoyote duniani.

1. Dushe kuti simama

2. Mke kuchepuka

3. Kudhauriwa na ndugu kwa kukosa mkwanja
4. Kuzaa toto shoga/ hanithi
5. Migogoro na vyombo vya dola
NB:-
Unaweza kuongeza na nyingine ambazo sijazitaja
Hapo naona issue ni Dushe kutosimama Dede na Kuzaa mtoto shoga/Hanithi.
 
Yaani umegusa mulemule


Siku John Joseph kichwa wazi akiacha kusimama dede sjui ntakuwa mgeni wa nani kwenye sekta ya mapenzi
 
Back
Top Bottom