Haya ndio matamanio ya CHADEMA

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Feb 17, 2016
17,506
15,997
Kuna hoja za kisiasa zinajengwa na baadhi ya watu wengi wao wakiwa wafuasi wa CHADEMA..'nchi hii tutawale wote si ya mtu mmoja au chama kimoja'. Ukiangalia juu juu unaweza usielewe maana yake, ila ni malalamiko watu hawa wanatamani yafuatayo;
  • Ili waridhike, Raisi ni lazima ateuwe wana-CHADEMA/CUF/NCCR kushika nafasi za uongozi kama uwaziri nk.
  • Eti, Mara kwa mara Raisi awaite kujadiliana nao kwanza kabla ya kufanya maamuzi yoyote na pia Raisi atekeleze maoni yao kwani kwao ndio 'demokrasia'.
  • Eti, Raisi asichukulie hatua viongozi wanaoharibu ili wao wajadili kwanza, kisha watoe maagizo ya mtu huyo kutimuliwa ili 'kujenga dhana ya bunge kuisimamia serikali'. Raisi akifanya yeye itaonekana anataka sifa peke yake.
My take;
Serikali ya JMT si ya umoja wa kitaifa na hakuna kipengele kwenye katiba kinacholazimisha Raisi kuteuwa wapinzani. Pia ieleweke serikali ya umoja wa kitaifa ilipingwa na wapinzani kuwa haitofautishi serikali na upinzani, kama mtakumbuka hata CUF walibaguliwa na Chadema baada ya kuingia SUK.

Hata hizo nchi zilizoendelea kama US,UK serikali huundwa na watu wenye itikadi moja. Fuatilia teuzi za Trump, Fuatilia teuzi za Theresa May..nk..nk. Huko US imembidi mkuu wa CIA kujiuzuru kumpisha Triump kisa alimpinga kipindi cha kampeni, na si Trump Kampisha, hii inamaanisha mhimili wa dola 'umejichimbia zaidi',

Huyu Trump anatakiwa afanye teuzi zaidi ya 4400 wakiwamo majaji,wakuu wa usalama nk., hata kwa zile nafasi ambazo hawezi kuwaondoa unajipima mwenyewe kama utaweza kufanya naye kazi? kama huwezi ondoka tu hata kama mkuu wa majeshi kwani yeye ndiye amiri jeshi mkuu japo Obama alisema hastahili.

Si jaji mkuu wala spika wanaohofiwa bali ni Raisi...na hapa ndipo jibu la Paskali Mayala linapopata jibu kimataifa.

Nawasilisha.
 
Sio wakati wa Siasa sasa ivi Mkuu...
Inajulikana nyie ndio mpo madarakani..
Timizeni wajibu wenu..
Halmashauri zinakufa huko..
Pelekeni pesa za Maendeleo.
Ova and Out.
 
Mkuu, Chadema walishakwambia wanataka wateuliwe kwenye uongozi wa serikali hii, au umeamua tu kuanzisha mada ili kufurahisha ukumbi? Hebu tume mfano wa malalamiko yao kwa kutopewa uongozi, sisi wengine hatujawahi kusikia malalamiko hayo. Siku zote sisi tunajua wanalalamikia kuzuia kufanya shughuli za siasa .....
 
Kuna hoja za kisiasa zinajengwa na baadhi ya watu wengi wao wakiwa wafuasi wa CHADEMA..'nchi hii tutawale wote si ya mtu mmoja au chama kimoja'. Ukiangalia juu juu unaweza usielewe maana yake, ila ni malalamiko watu hawa wanatamani yafuatayo;
  • Ili waridhike, Raisi ni lazima ateuwe wana-CHADEMA/CUF/NCCR kushika nafasi za uongozi kama uwaziri nk.
  • Eti, Mara kwa mara Raisi awaite kujadiliana nao kwanza kabla ya kufanya maamuzi yoyote na pia Raisi atekeleze maoni yao kwani kwao ndio 'demokrasia'.
  • Eti, Raisi asichukulie hatua viongozi wanaoharibu ili wao wajadili kwanza, kisha watoe maagizo ya mtu huyo kutimuliwa ili 'kujenga dhana ya bunge kuisimamia serikali'. Raisi akifanya yeye itaonekana anataka sifa peke yake.
My take;
Serikali ya JMT si ya umoja wa kitaifa na hakuna kipengele kwenye katiba kinacholazimisha Raisi kuteuwa wapinzani. Pia ieleweke serikali ya umoja wa kitaifa ilipingwa na wapinzani kuwa haitofautishi serikali na upinzani, kama mtakumbuka hata CUF walibaguliwa na Chadema baada ya kuingia SUK.

Hata hizo nchi zilizoendelea kama US,UK serikali huundwa na watu wenye itikadi moja. Fuatilia teuzi za Trump, Fuatilia teuzi za Theresa May..nk..nk. Huko US imembidi mkuu wa CIA kujiuzuru kumpisha Triump kisa alimpinga kipindi cha kampeni, na si Trump Kampisha, hii inamaanisha mhimili wa dola 'umejichimbia zaidi',

Huyu Trump anatakiwa afanye teuzi zaidi ya 4400 wakiwamo majaji,wakuu wa usalama nk., hata kwa zile nafasi ambazo hawezi kuwaondoa unajipima mwenyewe kama utaweza kufanya naye kazi? kama huwezi ondoka tu hata kama mkuu wa majeshi kwani yeye ndiye amiri jeshi mkuu japo Obama alisema hastahili.

Si jaji mkuu wala spika wanaohofiwa bali ni Raisi...na hapa ndipo jibu la Paskali Mayala linapopata jibu kimataifa.

Nawasilisha.

Naona unaipenda CDM mpaka unashindwa hata kulala.
 
Back
Top Bottom