Haya ndio Maoni ya Rais JK kuhusu Rasimu ya Katiba Mpya

FJM

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
8,083
1,225
Nina Mawili kuhusu JK1. Nasubiri atangaze kusimama kwa muda kwa mchakato wa katiba ya Muungano na atangaze kuanza kwa mchakato mpya wa katiba ya Tanganyika kwanza ili tukishapata katiba ya Tanganyika ndipo tuje tuendelee na mchakato wa hii katiba ya Muungano.2. Naanza kuhisi kuwa Prof. Lipumba was right kuwa JK ataongezewa muda wa kukaa madarakani na hataondoka 2015 sababu lazima mchakao uchukue muda mrefu kuliko ilivyodhaniwa. Mchakato wa katiba ya Tanganyika haujaanza na haijulikani utaanza lini ukizingatia kuwa lazima tujue namna gani tutakuwa na Bunge la Bara, Rais wa Bara, Mfumo wa mahakama wa bara na mengineyo mengi.Just thinking aloud!
Je, inawezekana Prof Lipumba 'alitumwa' ku-test public mood kuhusu kuongezwa kwa muda wa urais? Kwa upande mwingine Rais wa Jamhuri wa Muungano akishapatikana chini ya katiba mpya , hawezi kusimamia mchakato wa katiba ya Tanganyika? Au Tanganyika haiwezi kuunda serikali ya mpito kusimamia uundwaji wa katiba yake?
 

mdeki

JF-Expert Member
Mar 28, 2011
3,304
1,225
Thank yuu vere machi!!!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 

Mwana Mpotevu

Platinum Member
Sep 7, 2011
3,295
1,500
Je, inawezekana Prof Lipumba 'alitumwa' ku-test public mood kuhusu kuongezwa kwa muda wa urais?

Inawezekana kabisa, rejea Video yake ya last week humu jamvini. Naweza kukubaliana nawe kuwa Lipumba alitumwa maana hii pia ndio staili ya JK katika kufanya mambo yake mengi


Kwa upande mwingine Rais wa Jamhuri wa Muungano akishapatikana chini ya katiba mpya , hawezi kusimamia mchakato wa katiba ya Tanganyika?
Rais wa Muuungano hatakuwa na mamlaka kuhusu mambo ya Tanganyika wala mambo ya Zanzibar, yeye ana haki na mambo ya MUUNGANO TU. Soma Rasimu ya Katiba kama huna sema nikuwekee hapa jamvini mkuu

Au Tanganyika haiwezi kuunda serikali ya mpito kusimamia uundwaji wa katiba yake?
Ukiunda katiba ya Muungano kabla ya ile ya Tanganyika utaleta tatizo kubwa kwamba, je Zanzibar Imeungana na nani na huyu aliyejiunga nae amepata ridhaa wapi ya kuungana??? italeta utata zaidi mkuu
 

Kisiwa

Senior Member
Oct 18, 2010
125
195
Nina Mawili kuhusu JK

1. Nasubiri atangaze kusimama kwa muda kwa mchakato wa katiba ya Muungano na atangaze kuanza kwa mchakato mpya wa katiba ya Tanganyika kwanza ili tukishapata katiba ya Tanganyika ndipo tuje tuendelee na mchakato wa hii katiba ya Muungano.

Mkuu, kwa uelewa wangu hiyo tanganyika unayoisema haiwezi kuanza hadi katiba ipitishwe. Na kilichopendekezwa ni Serikali ya Tanzania Bara siyo Tanganyika. Hivyo huwezi kuanza mchakato wa Katiba ya TANZANIA BARA wakati Katiba ambayo inatambua uwepo wake bado haijakamilika. Bado kuna mchakato mrefu, kuna vipengele vinaweza kutolewa na vingine kuongezwa. Who knows? Hiyo Tanzania Bara inaweza isipitishwe
 

hoyce

JF-Expert Member
Oct 26, 2010
1,119
1,195
Nina Mawili
kuhusu JK

1. Nasubiri atangaze kusimama kwa muda kwa mchakato wa katiba ya
Muungano na atangaze kuanza kwa mchakato mpya wa katiba ya Tanganyika
kwanza ili tukishapata katiba ya Tanganyika ndipo tuje tuendelee na
mchakato wa hii katiba ya Muungano.

2. Naanza kuhisi kuwa Prof. Lipumba was right kuwa JK ataongezewa muda
wa kukaa madarakani na hataondoka 2015 sababu lazima mchakao uchukue
muda mrefu kuliko ilivyodhaniwa. Mchakato wa katiba ya Tanganyika
haujaanza na haijulikani utaanza lini ukizingatia kuwa lazima tujue
namna gani tutakuwa na Bunge la Bara, Rais wa Bara, Mfumo wa mahakama wa
bara na mengineyo mengi.

Just thinking aloud!
Hii nayo kali, yaani aanze mchakato wa Katiba Tanganyika kabla Tanganyika haijakuwapo katiba! Mchezo wa kuku na yai.
 

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
71,604
2,000
Kugawa tisheti na kanga nk wakati wa uchaguzi kuainishwe rasmi na katiba kama kitendo cha rushwa kama zilivyo rushwa nyingine,Mwenge wa uhuru utupiliwe mbali!!! Matumizi ya mali za serikali kwa shughuli za kichama na binafsi yadhibitiwe,mali zilizochumwa na serikali kipindi cha chama kimoja ziainishwe rasmi kuwa mali za umma,mfano viwanja vya wazi na vya michezo,wakuu wa mikoa na wilaya wasipewe haki ya kutumia vyombo vya dola watakavyo,kuwe na tume huru ya bei,utaratibu wa kuwapata jaji mkuu,mwanasheria mkuu uwe competitive zaidi ya huu wa kumchomoa pale na kumchomeka hapa,naaaaaaaaa
Una akili sana aisee !
 

Nduka

JF-Expert Member
Dec 3, 2008
8,509
2,000
Yes nimewahi na mara ya mwisho nimepiga kura wiki tatu zilizopita
Unafahamu kabla ya katiba hii mpya, ni ajenda za vyama (ilani) ndio vilikuwa vikinadiwa kwa wapiga kura? Na kila ukimchagua mgombea maana yake umechagua chama flani kwenye uwakilishi wa nafasi uliyopigia kura.
 

Mwana Mpotevu

Platinum Member
Sep 7, 2011
3,295
1,500
Unafahamu kabla ya katiba hii mpya, ni ajenda za vyama (ilani) ndio vilikuwa vikinadiwa kwa wapiga kura? Na kila ukimchagua mgombea maana yake umechagua chama flani kwenye uwakilishi wa nafasi uliyopigia kura.
Tatizo kura nilizowahi kupiga zote sio za kuchagua wanasiasa bali viongozi wa aina nyingine kabisa na hawahusiani na katiba za nchi wala vyama vya siasa
 

Nduka

JF-Expert Member
Dec 3, 2008
8,509
2,000
Tatizo kura nilizowahi kupiga zote sio za kuchagua wanasiasa bali viongozi wa aina nyingine kabisa na hawahusiani na katiba za nchi wala vyama vya siasa
Hapo umeeleweka kaka, tujipange kuanza kupiga kura uchaguzi wa 2017 kuchagua viongozi wa Tanganyka.
 

bibikuku

JF-Expert Member
Feb 16, 2011
832
195
Hii nayo kali, yaani aanze mchakato wa Katiba Tanganyika kabla Tanganyika haijakuwapo katiba! Mchezo wa kuku na yai.
hoyce huenda sijakupata vizuri? unamaanisha kuwa hakuna haja ya mchakato wa katiba ya Tanganyika bali ifufuliwe ile iliyokufa 1964 au unamaanisha nini?
 
Last edited by a moderator:

Beethoven

JF-Expert Member
Jun 6, 2011
351
195
Nina Mawili kuhusu JK

1. Nasubiri atangaze kusimama kwa muda kwa mchakato wa katiba ya Muungano na atangaze kuanza kwa mchakato mpya wa katiba ya Tanganyika kwanza ili tukishapata katiba ya Tanganyika ndipo tuje tuendelee na mchakato wa hii katiba ya Muungano.

2. Naanza kuhisi kuwa Prof. Lipumba was right kuwa JK ataongezewa muda wa kukaa madarakani na hataondoka 2015 sababu lazima mchakao uchukue muda mrefu kuliko ilivyodhaniwa. Mchakato wa katiba ya Tanganyika haujaanza na haijulikani utaanza lini ukizingatia kuwa lazima tujue namna gani tutakuwa na Bunge la Bara, Rais wa Bara, Mfumo wa mahakama wa bara na mengineyo mengi.

Just thinking aloud!
U are right mwana mpotevu.Nimeisoma japo kwa haraka sijaelewa kwa nini tume imeogopa au kukwepa sana kulitumia jina Tanganyika badala yake wanaweka Tanzania bara.Kama wanataka kuificha historia basi Zanzibar pia iitweTanzania visiwani>mzee warioba ni mtu mzima na mwanasheria sielewi kwa nini anataka kufanya dhambi ya kuzika/kuficha historia!!!!
 

Beethoven

JF-Expert Member
Jun 6, 2011
351
195
Great idea.Tusimame basi imara tutoe maoni Tanganyika itambulike rasmi na sio Tz bara kama wanavyojaribu kuficha historia.
 

shibwe

Senior Member
Mar 18, 2013
156
0
Sitaki nchi inayo itwa tanzania bara ndani ya rasmu ya katiba mpya nataka nchi ya tanganyika itambuliwe katika rasm na baadaye katiba mpya hapo jk ntasema hongera
 

Mfamaji

JF-Expert Member
Nov 6, 2007
6,638
2,000
Itamzuia nini kuondoka? Kwani huyo Raisi mwingine haweziendesha mchakato?
 

Lwesye

JF-Expert Member
Sep 29, 2012
5,296
0
Ameandikia wapi huu waraka ambao anaonekana kawa mpole kama kawa kageuka haraka kama kinyonga,kaona aliyotaka yawemo kwa kupitia chama chake yamepigwa bullshit,hivi karudi huko anakoshangaa matango na mboga ya maboga na mkewe wenzao wamerudi kitambo wao wameanza kuonyeshwa mpaka vyura,mbilimbi na bamia hawa majuha kweli
 
Top Bottom