SAGAI GALGANO JF-Expert Member Joined Nov 13, 2009 Posts 50,107 Reaction score 75,560 Sep 14, 2020 #21 Ukiona hivyo ujue ametoka kuharibu nje sasa dhamira yake inamsuta
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 123,728 Reaction score 203,619 Sep 19, 2020 #22 Nadhani ni movie hiyo.
MK254 JF-Expert Member Joined May 11, 2013 Posts 33,575 Reaction score 53,613 Sep 19, 2020 #23 Umfanyie vyote hivyo lakini bado atataka kujua password ya simu yako, hawa huwa hawatosheki.......hehehe
Umfanyie vyote hivyo lakini bado atataka kujua password ya simu yako, hawa huwa hawatosheki.......hehehe
Beeb JF-Expert Member Joined Aug 18, 2018 Posts 29,389 Reaction score 59,151 Sep 19, 2020 #24 Haya ndiyo mahaba Sasa😎