🤣🤣🤣🤣Aisee!! Hawa wa kiswahili bado watahisi umewadharau kuwafanyia hivyo!!
Cheki mwenyewe. Mjali mkeo sio hao maslayqueen. VideoView attachment 1567260
Hapo alitakiwa ampe kwa unyenyekevu huku amepiga magoti
Aisee itabidi nijiopolee mmojaTupo wengi sana
Umpigie goti amekua Mungu?Hapo alitakiwa ampe kwa unyenyekevu huku amepiga magoti
Kwani mnavyowavishaga Pete mmepiga goti wamekuwa mungu?
Sio hivyo tu....
Mimi kila baada ya muda flani hua namsapraiz wife kwa kuanza kumtongoza upya...
Hapana, hii ni surprise. Yaani umemkuta sebuleni hana hili wala lile unamrushia mapene.
hahahahahhaaaaaaa umenikumbushaaaaaaaa sanaaaaaaSio hivyo tu....
Mimi kila baada ya muda flani hua namsapraiz wife kwa kuanza kumtongoza upya...