Kitwanga ..... Ulevi
Makonda .... Makasha/Makontena ya Bandarin 20
Mkuuu sarufi uliyotumia ni ya darasa la kwanza rudi shule ukasme Elimu bure mpaka Sekondari kwa sasa. Mhe. Makonda anawanyima usingizi wanaume wa Dar kinoma. Yaweza kuwa wewe ni drug dealer, Mdau wa Shisha, mtelekeza watoto..
Daaaaah Kaka Bashite washikishe adabu mpaka wanyoooke.