Preta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 24,323
- 18,793
Hebu jitokeze, jionyeshe, simamama mbele za watu, kalamu(keyboard) yako iking'ara wang'ara pia.....karibu Preta wetu
ha ha ha......yajayo yanafurahisha..........
Hebu jitokeze, jionyeshe, simamama mbele za watu, kalamu(keyboard) yako iking'ara wang'ara pia.....karibu Preta wetu
Umeona eeh?ha ha ha......yajayo yanafurahisha..........
brazzamillyNimekupenda bure unavyocheza na code
naibu sheriff ni naniKitwanga ..... Ulevi
Makonda .... Makasha/Makontena ya Bandarin 20
Mkuuu sarufi uliyotumia ni ya darasa la kwanza rudi shule ukasme Elimu bure mpaka Sekondari kwa sasa. Mhe. Makonda anawanyima usingizi wanaume wa Dar kinoma. Yaweza kuwa wewe ni drug dealer, Mdau wa Shisha, mtelekeza watoto..
Daaaaah Kaka Bashite washikishe adabu mpaka wanyoooke.
hayakuhusuHivi ni kweli ataondolewa
ze dudu shenzy zakohayakuhusu
turudi tu jukwaa la wakubwa ndio tunapopaweza