Haya ndio mambo ninayoyaona huku Ughaibuni

mimi nipo state of mato grosso do sul i hapa ila nasikia mambo yake,kikubwa kama amefanya kashfa mtoeni tuuu hamna namnaa inaonyesha mmechhoka poleni sanaa

sometimes it's better to sacrifice a finger in order to save the head
 
Mkuu na mm pia nipo hapa LA paz. Ila hii habari in ngeni kwangu. Ila gavana alisha jimilikisha jimbo hakuna wa kumtoa coz dady ake alisha mrithisha
 
Gentamycine anatafutwa nchini hii siku ya tatu?baada ya kuwa na tabia ya kuzurula nchi za watu,ukikutana naye mwambie mambo yameiva pia huko kwao puerto rico
 
Kitwanga ..... Ulevi
Makonda .... Makasha/Makontena ya Bandarin 20
Mkuuu sarufi uliyotumia ni ya darasa la kwanza rudi shule ukasme Elimu bure mpaka Sekondari kwa sasa. Mhe. Makonda anawanyima usingizi wanaume wa Dar kinoma. Yaweza kuwa wewe ni drug dealer, Mdau wa Shisha, mtelekeza watoto..
Daaaaah Kaka Bashite washikishe adabu mpaka wanyoooke.
naibu sheriff ni nani
 
Nusura nianguke kwa kizunguzungu!! Wenyeji wa ukanda wa pwani Kaskazini Mashariki wakati mwingine huuita ugonjwa huu kwa jina la KISUNZI
 
13 Reactions
Reply
Back
Top Bottom