Haya ndio malipo ya kiburi

kwisha penda unapopendwa, usipopendwa stress zinatosha.

Haijalishi mtu anakudharau kiasi gani, kikubwa tenda wema utembee mbele, malipo akhera.
 
Kwa hiyo unataka kuutangazia umma kwamba huyo chaurembo ameuguwa kwa sababu hakukupenda wakati ulipokuwa unamhitaji? Uzilamishe mahusiano mkuu kwa sababu kila mtu ana machaguwo yake, na magonjwa ameumbiwa binaadamu, Kwa hivyo sioni uhusiano wowote katika kuuguwa kwa huyo dada na kukukataa.

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Umeandika ujumbe wa kumkebehi. Hajafanya kosa lolote kutokukubali wewe. Ni utashi wa moyo wake. Sasa unaandika ati alikufanyia kiburi na sasa wewe ndiye unayemsaidia. Sasa swali kwako mleta mada, yeye ndiye kakuomba huo msaada? Au umejisikia tu kujitolea. Kama umejisikia mwenyewe ndio iwe sababu ya kumbagaza hapa jukwaani? Vijana acheni kuleta threads zilizoathiriwa na foolish age yenu.
 
Km filamu ya kanumba
 
Na akipona atazidi kukuona falaa tuu inawezekana hata salamu asikupee ..!! Hao ndo wanawake
Lakini kapenda mwenyewe kwenda kuuguza huko, hakuitwa. Kwa hiyo tuseme anajitolea asitegemee lolote.
 
Tatepa
 
Ningekuwa karibu yako ningekulamba bakora kumi hadharani, unajikuta msamaria sana, kwamba ukimuhangaikia ndio atakupa ndogo? Achana na hiyo mbolea ukafanye mambo ya msingi
 
Mkuu huo ugonjwa wa ini hau husiani na kiburi chake, wapo waungwana na wacha Mungu wana ugonjwa huo. Ila nikuwa bado unampenda unaona umepata starting point.. Unadhani ndiyo atakuaoenda endelea kutafuta maumivu angalia usije kuua.
 
Duh umeniogopesha sana. Baby wangu naye alifululiza kunywa P2 yaani akaanza kuwashwa especially kwenye nyayo. Hila baadae akarecover.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…