Haya ndio malipo ya kiburi

Acha shobo, msaada sio haki wala lazima ukiwa unamsaidia wewe saidia bila kuangalia nyuma
 
Unitahidi sasa uwe apdated (msafi, unukie vizuri) sio unajiacha rafu ili ukiachwa unasubiri aliekuacha yamkute uje ulalamike kuwa uliachwa kisa mchafu na sasa aliekuacha yamemkuta.
 
Umejuaje To yeye? Maana kuna mmoja tumemzika juzi na alikuwa na bonge la mtako naye shida ni ini πŸ€”
Ndo Dawa yangu ya uzazi wa mpango pale inapotokea nimesex hata kwa mwaka Mara moja....sasa mwaka Jana kuna miez nilisex mfululizo ikabidi p2 ninywe kila mwez(danger days) .....mwili ukaanza kuwasha sana...nikaenda hospital nikaulizwa Dawa gani umefululiza kunywa sana mwez huu...nikasema hakuna ila nimekunywa P2 kwa miez 3 yaan Mara 3....wakaniambia acha p2 ni Mara moja au mbili kwa mwaka.... Ukifululiza unasababisha ini lisifanye kaz vyema ivo dalili zake mwili kuwasha sana
 
Kupata matatizo ya ini si malipo ya jeuri yake. Wrong attribution. Hiyo ina sababu zake za kisayansi kabisa.
Ila hongera kwa kuwepo around kusaidia. Kama asili yako ni kutenda wema basi usiache ubaya ukubadili.
Mleta mada hajamaanisha kuwa ugonjwa alionao ndio malipo ya jeuri yake. Ila wale watu aliyewaona ni bora kwake hawaonekani kuwa msaada kwenye matatizo yake. Na alipoonyesha dharau ndo imekua kimbilio lake.
 
Wewe acha kutoa fedha zako kwa hao ma slay queen.
Yaani mtu anakutema mate then wewe unahangaika kwaajili yake.
Are you mad?
Akipona atarudi kwenye mambo yake na wewe utabaki na mbupu zako.
Kuna video nitakutimia nikiiona kwenye maktaba yangu. Inafundisha adui wako atabaki kuwa adui yako tu.
Don't trust your enemy
 
Sasa umekuja kumsimanga huku, wewe unajua kesho yako? Kama alichokufanyia ni kibaya mbona wewe unamfanyia wakati huu akiwa mgonjwa?
Kama huna Nia ya kumsaidia acha siyo kuja huku na wewe sass kujii a bora kuliko yeye. Jinga sana wewe.
 
Mkuu uko mkoa gani? Ikiwa upo Mwanza au mkoa karibu hapo nikupe namba ya tabibu kuna mtu alitibiwa tatizo la ini akapona kabisa.

Mimi kuna ndugu yangu alitibiwa tatizo lingine ndiye aliniambia habar ya kukutana na huyo mtu aliyetibiwa ini.
 
Hili ndo tatizo linaloangamiza sana mabinti kwa sasa(tunakunywa sana Dawa.....p2 mfululizo,na vidonge vingine vya kuzuia mimba
Kisa mnapenda sana chukuchuku tena siku za kuongeza familia
 
HAUNA AKILI
 
kwisha habari yako akipona anarudi Instagram kwenda kuwatafuata wale wazugaji wa insta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…