OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 49,820
- 106,587
Kabudi mjumbe wa kamati ya Warioba walioamini muungano haupo sawa?Kabudi atamnyoosha sana
Kabudi mjumbe wa kamati ya Warioba walioamini muungano haupo sawa?Kabudi atamnyoosha sana
2020 kunahija siikumbuki ila Kafulila alimchanachana sana Lissu kama mgombea Urais wa CHADEMALissu ni kijana wa mjini na amefanya siasa nyingi za hoja na za hovyo akiwa Bungeni na sasa majukwaani.
Kwa mtazamo wangu haya ndio majina ya wanachama 3 wa CCM wanaoweza kupambana na Lissu jino kwa jino bandika bandua.
Anahitaji kujibiwa vile anavyokuja akija kihuni anajibiwa kihuni akija kisomi anajibiwa kisomi.
1. Prof Palamagamba Kabudi
2. Hamprey Polepole
3. David Kafulila
Sahihi kabisa aende kwa watoto wake kuleLissu apewe ubalozi uko atulie, atasumbua sana, Mama afanye hivyo tu
Jamaa haishiwi hoja yule, anasumbuaSahihi kabisa aende kwa watoto wake kule
Daah kama hukutaka Ku comment ungeacha tu mkuu, kuliko kututesa kiasi hikiMABO YANABABIRIKA MDUU UNAWEDA KUDA WADA WADU WAO DAYARI
Sahihi kabisa,Lissu ni kijana wa mjini na amefanya siasa nyingi za hoja na za hovyo akiwa Bungeni na sasa majukwaani.
Kwa mtazamo wangu haya ndio majina ya wanachama 3 wa CCM wanaoweza kupambana na Lissu jino kwa jino bandika bandua.
Anahitaji kujibiwa vile anavyokuja akija kihuni anajibiwa kihuni akija kisomi anajibiwa kisomi.
1. Prof Palamagamba Kabudi
2. Hamprey Polepole
3. David Kafulila
Daaa umezaliwa mwaka gani,weweKwani Zitto chama chake kinashambuliwa
Aisee kumbe kichwani mweupe hivi???!!!! Hili jukwaa siyo level yako.Lissu ni kijana wa mjini na amefanya siasa nyingi za hoja na za hovyo akiwa Bungeni na sasa majukwaani.
Kwa mtazamo wangu haya ndio majina ya wanachama 3 wa CCM wanaoweza kupambana na Lissu jino kwa jino bandika bandua.
Anahitaji kujibiwa vile anavyokuja akija kihuni anajibiwa kihuni akija kisomi anajibiwa kisomi.
1. Prof Palamagamba Kabudi
2. Hamprey Polepole
3. David Kafulila
Jifunze kunusaKwani Zitto chama chake kinashambuliwa na Lussu
L
Hakuna hapo. Labda kwa mbali Prof Kabudi kwa sababu na yeye anaijua vizuri historia kama Tundu Lissu
Hao wengine vilaza tu
DuuDaaa umezaliwa mwaka gani,wewe
Kwa ufupi ,mkuu wa chama cha act alikuwa mwanasheria mkuu wa serikali ya mapinduzi zanzinzibar alitimuliwa wakati wa bunge la katiba kwa msimamo wa serikali tatu ,na mwenyekiti kamati zao alikuwa samia hasani leo Rais wa jmt ,kwamdogo wetu kafulila nasemaje sikumtaja kwakuwa sivema kumfananisha eti akapambane na lisu , na ukizingatia ni mwalimu shule ya msingi kasulu
Tehetehe, umetaja takataka mbili za chini, huyo mwalimu wa family law tumuache kwanza, sijui kama mkewe amepona miguuLissu ni kijana wa mjini na amefanya siasa nyingi za hoja na za hovyo akiwa Bungeni na sasa majukwaani.
Kwa mtazamo wangu haya ndio majina ya wanachama 3 wa CCM wanaoweza kupambana na Lissu jino kwa jino bandika bandua.
Anahitaji kujibiwa vile anavyokuja akija kihuni anajibiwa kihuni akija kisomi anajibiwa kisomi.
1. Prof Palamagamba Kabudi
2. Hamprey Polepole
3. David Kafulila
Lissu ni kijana wa mjini na amefanya siasa nyingi za hoja na za hovyo akiwa Bungeni na sasa majukwaani.
Kwa mtazamo wangu haya ndio majina ya wanachama 3 wa CCM wanaoweza kupambana na Lissu jino kwa jino bandika bandua.
Anahitaji kujibiwa vile anavyokuja akija kihuni anajibiwa kihuni akija kisomi anajibiwa kisomi.
1. Prof Palamagamba Kabudi
2. Hamprey Polepole
3. David Kafulila
Kabudi mweupe sana ashukuru buster. Na kadi ya ccm enzi hizo
Hakuna kitu hapo!Lissu ni kijana wa mjini na amefanya siasa nyingi za hoja na za hovyo akiwa Bungeni na sasa majukwaani.
Kwa mtazamo wangu haya ndio majina ya wanachama 3 wa CCM wanaoweza kupambana na Lissu jino kwa jino bandika bandua.
Anahitaji kujibiwa vile anavyokuja akija kihuni anajibiwa kihuni akija kisomi anajibiwa kisomi.
1. Prof Palamagamba Kabudi
2. Hamprey Polepole
3. David Kafulila
Unamaanisha Lissu asijibiwe na Wana CCM?Hao wangeweza kujibu hoja za Lissu kama wangekuwa nje ya CCM! Asikwambie mtu,ukishajiunga na CCM hata kama unaujua ukweli huwezi kuusema.