Hivi ndivyo Zitto kweli alivyomanisha au kuna watu wanaomchukia hivyo wana-twist story to meet their needs? What is wrong kwa Zitto kukijenga chama, kikakua na huenda sasa anaona kuna makamanda wanaweza bila yeye...Toto limelelewa limekuwa na kujaza nywere hadi kwapani, bado linalilia kubebwa tuuuu. Kwani hiyo M4C haiwezi kwenda bila Zitto mbona hamjiamini? au ndio yale yale makundi yenu yameanza kama CCM? Chama kimekua, ulaji nao umekua sasa mnagombana. Hizi siasa zetu za kiafrika ni usanii na shida tupu...