Haya ndio majibu ya Mh. Zitto ya kukosekana kwenye m4c

Hivi ndivyo Zitto kweli alivyomanisha au kuna watu wanaomchukia hivyo wana-twist story to meet their needs? What is wrong kwa Zitto kukijenga chama, kikakua na huenda sasa anaona kuna makamanda wanaweza bila yeye...Toto limelelewa limekuwa na kujaza nywere hadi kwapani, bado linalilia kubebwa tuuuu. Kwani hiyo M4C haiwezi kwenda bila Zitto mbona hamjiamini? au ndio yale yale makundi yenu yameanza kama CCM? Chama kimekua, ulaji nao umekua sasa mnagombana. Hizi siasa zetu za kiafrika ni usanii na shida tupu...
 
POMPO,
Kuna swali nilikwishaliuliza hapa, na ningependa sana viongozi wa CDM wajibu (sio wapiga debe), "ikiwa Zitto ni ndumilakuwili, anatumiwa na vyombo vya usalama, ni rafiki wa wanaCCM akiwemo Kikwete, anapenda sifa, hashiriki kwenye M4C, anajali sifa na maslahi binafsi... kwa nini bado wanaye ndani ya chama?" Hili linaweza kujibiwa na wakuu wa CDM na wala sio sisi tunaopigizana kelele tu hapa. Hata hivyo, ninathamini mawazo na maoni ya kila mtu.

Unajua serikali ya CCM inatumia pesa nyingi kwenye propaganda kati ya hizo ni kuhakikisha kibaraka wao Zitto anaendelea kuwa na influence CHADEMA by having many fans.

Propaganda team ya CCM inamjenga Zitto hasa kwa wale wenzangu na mimi wanaofuata siasa za upepo wanaingia kwenye mtego huo

Matokeo yake Zitto anaonekana ni muhimu katika CHADEMA. Pamoja na kwamba mimi sikubaliani na Zitto ila nitawashangaa CHADEMA kama watamfukuza Zitto kwa kipindi hiki labda baada ya 2015
 
Last edited by a moderator:
Wengi wanao mpinga zitto cdm ni vibaraka wa Slaa na mbowe, hawa wazee wanaogopea ufalme wao. Bila Zitto CDM itakosa support ya vijana wasomi,watakao baki ni vijana wa vijiweni ambao hata sanduku la kura hawalijui. Nasema tena,wakimchezea atawavua chupi hao wazee.
 
Mbona hakemei hata mauwaji yanayofanywa na policcm? MoU na TISS itamtesa sana... Majibu ya kinafiki
"I am in Sri Lanka for a Commonwealth Parliamentary Association meeting. Also reading and writing - my favourites" ulipataje link ya kushiriki huko? a meeting? miezi miwili....? kituko ni reading and writing...Mnafiki

Mzimu wa kashfa ya kupokea rushwa kutoka wizara ya nishati na madini(ref.professor Muhongo's Speech) unamtesa huyu kijana, hajui au ameshajua outcome ya probe committee iliyoongozwa na mzee Ngwilizi ndio maana sasa anakimbia kivuli chake kwa kujificha nje ya nchi na kukwepa shuguli nyingi za chama!
 
Mimi namtaka Zitto asijisikie vibaya if people will demand more from him, because he has raised people's hope on him that he can be a good command in chief! It is not the time for him to say sasa tumekuwa wengi, which means acha na wao wafanye, hatakuwa anatutendea haki tulio wengi. We want the 2006 Zitto Kabwe. We want him back!
 
Zitto Zuberi Kabwe ‏@zittokabwe
@kaseko some of us rebranded the party and ensured its growth to now. Anybody knows CDM pre 2005?

in 2005,i voted for mbowe and i didn't even know you existed..i started hearing and reading about you through tabloids back then that you were having an affair with AMINA CHIFUPA who was infact well known..am telling the truth the whole truth nothing but truth,help me lord...
 
Mimi namtaka Zitto asijisikie vibaya if people will demand more from him, because he has raised people's hope on him that he can be a good command in chief! It is not the time for him to say sasa tumekuwa wengi, which means acha na wao wafanye, hatakuwa anatutendea haki tulio wengi. We want the 2006 Zitto Kabwe. We want him back!
you do and i don't..speak for yourself brother/sister
 
[h=2]Tweet to Zitto Zuberi Kabwe[/h]








[h=2]Tweets[/h]










9 Sep Abel Kaseko ‏@kaseko

Kuna maswali unatakiwa kuyajibu ili kufuta uongo wa kisiasa : kwamba haujawahi kuhudhuria Mikutano ya M4C.. @zittokabwe @omarilyas
Expand




9 Sep Zitto Zuberi Kabwe ‏@zittokabwe
@kaseko some of us rebranded the party and ensured its growth to now. Anybody knows CDM pre 2005? @omarilyas
Expand




9 Sep Fredrick Max ‏@Fredrickmax
@zittokabwe @kaseko @omarilyas kaseko hamna asiyetambua mchango wa Zitto kwa CDM..swali ni what works for now?
Expand




9 Sep Zitto Zuberi Kabwe ‏@zittokabwe
@MohamediMtoi kuna waliojali status quo, wakaendeleza kazi kujenga maisha yao kwanza na kisha kutufuata @Fredrickmax @kaseko @omarilyas
Expand




9 Sep Zitto Zuberi Kabwe ‏@zittokabwe
@MohamediMtoi hapana. Sitaki kusema chochote. Ninachosema ni kuwa 1) those who risked 2) those free riders (in public finance)....
Expand






9 Sep Zitto Zuberi Kabwe ‏@zittokabwe
@MohamediMtoi I am in Sri Lanka for a Commonwealth Parliamentary Association meeting. Also reading and writing - my favourites

Hide conversation


12:41 PM - 9 Sep 12 · Details




Tweet text
Image will appear as a link



9 Sep Fred Kavishe ‏@fredrooney
@zittokabwe all the best comrade
Expand









9 Sep Zitto Zuberi Kabwe ‏@zittokabwe
@Fredrickmax M4C is next level. We started with Sangara. Then Vua gamba Vaa gwanda na sasa M4C @MohamediMtoi @kaseko @omarilyas #M4C

View conversation





9 Sep Zitto Zuberi Kabwe ‏@zittokabwe
@Fredrickmax don't pick up silly things. Triviality. Look the content of the subject matter @MohamediMtoi @kaseko @omarilyas #M4C

View conversation





9 Sep Zitto Zuberi Kabwe ‏@zittokabwe
@MohamediMtoi hapana. Sitaki kusema chochote. Ninachosema ni kuwa 1) those who risked 2) those free riders (in public finance)....

View conversation





9 Sep Zitto Zuberi Kabwe ‏@zittokabwe
@Fredrickmax ofcourse team work. I am proud to be part of the team which transformed the party. Sasa tupo wengi..... @kaseko @omarilyas

View conversation





9 Sep Zitto Zuberi Kabwe ‏@zittokabwe
@MohamediMtoi I led the struggle from front when being chadema was old fashion. I am very happy now @Fredrickmax @kaseko @omarilyas

View conversation





9 Sep Zitto Zuberi Kabwe ‏@zittokabwe
@MohamediMtoi kuna waliojali status quo, wakaendeleza kazi kujenga maisha yao kwanza na kisha kutufuata @Fredrickmax @kaseko @omarilyas

View conversation





9 Sep Zitto Zuberi Kabwe ‏@zittokabwe
@MohamediMtoi kuna tulioona kwanza na kukataa status quo na kuingia kuweka msingi wa mabadiliko. @Fredrickmax @kaseko @omarilyas

View conversation





9 Sep Zitto Zuberi Kabwe ‏@zittokabwe
@Fredrickmax what team spirit? Be specific @kaseko @omarilyas

View conversation





9 Sep Zitto Zuberi Kabwe ‏@zittokabwe
@Fredrickmax Tunapokezana vijiti. Wengine tuli rebrand chama out of obscurity. Tumekuwa wengi. Tunasaidiana. No kelele @kaseko @omarilyas

View conversation





9 Sep Zitto Zuberi Kabwe ‏@zittokabwe
@kaseko unapokuwa mwanasiasa kwenye nchi kama Tanzania ambapo principles and ideological orientation havina nafasi. Best, focus @omarilyas

View conversation





9 Sep Zitto Zuberi Kabwe ‏@zittokabwe
@kaseko so achana na hao wanaoiona CHADEMA kwa jicho la M4C. Hata niwape utume watasema tu. I just move on with work, hardwork @omarilyas

View conversation





9 Sep Zitto Zuberi Kabwe ‏@zittokabwe
@kaseko some of us rebranded the party and ensured its growth to now. Anybody knows CDM pre 2005? @omarilyas

View conversation





9 Sep Zitto Zuberi Kabwe ‏@zittokabwe
@kaseko one thing, kuna watu wanataka kuaminisha umma kuwa CDM imeanza kujengwa after 2010. Wao walipoingia. Damn wrong @omarilyas

View conversation





9 Sep Zitto Zuberi Kabwe ‏@zittokabwe
@kaseko when I do they close their eyes. When I don't they open their mouths @omarilyas

View conversation





9 Sep Zitto Zuberi Kabwe ‏@zittokabwe
@kaseko nimefanya ziara Tanga. Nimefanya mikutano ya uchaguzi wa madiwani all over the country. Nimefanya Iringa. Tawi USA @omarilyas

View conversation





9 Sep Zitto Zuberi Kabwe ‏@zittokabwe
@kaseko mikutano ya M4C...... It is very unfortunate. Ninafanya mikutano ya chama #CHADEMA ndani na nje ya nchi @omarilyas

View conversation

Kwangu mimi huu sasa ni umbea, majungu na ujinga. Zito anawasiliana na wenzake kwenye blog nyingine, wewe unaleta huku ili iwe nini? Better kusubiri atoe tamko rasmi na kujadili na sio haya maongezi binafsi na rafiki yake. Huku sasa ni kuingilia mambo yake binafsi....haipendezi.
 
Zitto Zuberi Kabwe ‏@zittokabwe
@kaseko some of us rebranded the party and ensured its growth to now. Anybody knows CDM pre 2005?

in 2005,i voted for mbowe and i didn't even know you existed..i started hearing and reading about you through tabloids back then that you were having an affair with AMINA CHIFUPA who was infact well known..am telling the truth the whole truth nothing but truth,help me lord...
Leo billicanas lazima upewe bia,umefanya kazi nzuri humu JF,boss amefurahi sana.
 
Zitto is obsessed with himself. One ought to tell Zitto that he shoudn't dwell on what he has done in the past, instead he should concentrate in building the party. Statement like " anybody knows CDM pre 2005" shows how arrogant and reckless this guy has become. Honestly, I have trouble figuring out what he is trying to accomplish by insulting CDM top hierachy.
 
  • Thanks
Reactions: 911
Sitakaa nimuamini Zitto Kabwe hata kama tungeambiwa dunia nzima tutaishi kiza tororo bora iwe giza kuliko kumwamini Zitto. Mengi yanajulikana anakisaliti chama, mnafiki mkubwa sana. Na sasa kuna taarifa za chinichini anataka kulowea kabisa kwa kuwa na close tie kwa ...... mtoto wa .......Habari tunazijua mkuu. All the best but nenda mwenyewe na kiache CDM salama. Uzuru vongozi wako wanakujua fika na mambo yako ila wanakupa staha tu wakati ufike nawe utambae.
 
Zitto Zuberi Kabwe ‏@zittokabwe
@kaseko some of us rebranded the party and ensured its growth to now. Anybody knows CDM pre 2005?

in 2005,i voted for mbowe and i didn't even know you existed..i started hearing and reading about you through tabloids back then that you were having an affair with AMINA CHIFUPA who was infact well known..am telling the truth the whole truth nothing but truth,help me lord...
You nailed it!!! Ndivyo ilivyo!!! Bravo!!
 
POMPO

Propagandax3, Dua la kuku halimpati mwewe, Zitto endelea na maandalizi tuko nyuma yako, wazalendo wanaelewa kazi yako, achana na wapika majungu, tunajua wewe ni mti wenye matunda ndo maana unashambuliwa, Aluta Continuaaaaaaaaaaa.
Taarabu kutoka Kigoma? mbona haichezeki? tulishazoea ya mwambao mkuu...Pole, try another style you will.
 
Wengi wanao mpinga zitto cdm ni vibaraka wa Slaa na mbowe, hawa wazee wanaogopea ufalme wao. Bila Zitto CDM itakosa support ya vijana wasomi,watakao baki ni vijana wa vijiweni ambao hata sanduku la kura hawalijui. Nasema tena,wakimchezea atawavua chupi hao wazee.
Kwanza ningependa ufafanuwe kama wanaompinga Zitto ni vibaraka wa Mbowe na Dr Slaa!! je wewe ni kibaraka wa nani?

Ningeomba bila kumung'unya maneno utupe takwimu sahihi za vijana wasomi na wasio wasomi nikiwemo mimi Matola ambaye ni Form Four Graduate & am proud of my self, wewe msomi na kundi la wasomi wenzako mpo percentage ngapi na sisi Vijana wa kijiwweni tupo Percentege ngapi? Kwanza nakushauri kabla ya kujibu swali hili soma kitabu cha Sugu Muziki na Maishagkutoka Street mpaka Mjengoni.

Baada ya kumaliza hoja hizo hapo juu kabla hatujaendelea hoja kwa hoja unieleze wapiga kura wa Mwandiga Kigoma kaskazini wamesoma chuo kikuu kipi? je jimbo la Zitto Kabwe linakaliwa na wasomi na ndio siri ya yeye kuchaguliwa Mbunge?

JF sidhani tena kama inaweza kuwa na hadhi tena ya Home of Great thinkers kwa sababu ninaloliona ni akili ndogo kutaka kuongoza akili kubwa, if is that a case Raisi wetu ni mchumi namba moja mwenye Degree 200 Profesa Lipumba.
 
Zito ni jembe ndani ya cdm, kwani chama si kina msemaji? Mbona hamumzungumzii mpendazoe? ACHENI UPUUZI UMESHASIKIA KAPANGIWA SEHEMU KAKATAA KWENDA??
Mijitu mingine inafikiria kwa masaburi!!!!!!
 
Nakubariana na Mh Zitto, lazima viongozi wengine wakiimarishe chama ndani. Lazima kuwe na marengo na utaratibu wa kuendesha M4C, vinginevyo tutashindwa.
 
Back
Top Bottom