MsemajiUkweli
JF-Expert Member
- Jul 5, 2012
- 13,171
- 23,975
Mawazo yako nayapinga kwa nguvu zote unless uni-convince otherwise, je na JK ambaye mwaka 2005 alishinda kwa %80 + je ni nani aliyechakachuwa kura za JK mwaka 2010 na kusababisha JK kupata 60% tena yenye mashaka makubwa mpaka leo hii!!??
Kuna factor nyingi tu zilizosababisha asilimia kushuka, moja ya factor ambayo ni muhimu kufahamu, Wananchi wanapiga kura kulingana na wagombea waliopo, ni sawasawa na kuwa darasa lenye wanafunzi ambao ni wajinga lakini katika hao, kuna ambaye ujinga wake ni afadhali ya wengine. Inawezakana kabisa, Kikwete mwaka 2005 alikuwa mwanafunzi mjinga lakini afadhali ya wajinga wengine, kwa maana kuwa, alipata kura nyingi kwa sababu wagombea wengine walikuwa hopeless zaidi na mwaka 2010 kura zilipungua kwa sababu wagombea wengine walikuwa siyo hopeless kama wa mwaka 2005.
Dr Slaa siyo Mbowe, lakini Kikwete ni Kikwete. did you get my point.
Unaweza usikubaliane na mawazo yangu