Kambi ya machamehayo mafunzo ya kuwajua watu uliyapata kwenye makambi ya misigiri, mratibu mkutubi akiwa mwigulu nchemba au kambi yako ilikuwa mvomero kwa makala!!!!
Kambi ya machamehayo mafunzo ya kuwajua watu uliyapata kwenye makambi ya misigiri, mratibu mkutubi akiwa mwigulu nchemba au kambi yako ilikuwa mvomero kwa makala!!!!
when I do they close
their eyes. When I don't they
open their mouths
over
usilazimishe mtu afikiri unavyofikiri wewe, aamini unavyoamini wewe, wengine wanaona mbali zaidi uonavyo zitto ni mtu makini sana
Mammamia, umeanza vizuri umeshindwa kuimalizia vizuri vivyo hivyo Zitto alianza vizuri na CHADEMA kashindwa kumaliza vema na CDN anaanza kutapatapa! huwezi tumikia mabwana wawili.Mwaka 2005 CCM.....39.6% Mwaka 2010....38.15% na hapa CCM imeshuka, unalielezaje hili?
Katika uchambuzi wako umemwangali Zitto tu bila kujali CCM ilivyoshuka na bila ya kujali wapinzani wengine mwaka 2005 kwa pamoja walipata 9.3% na mwaka 2010 walipata 13.28.
Unaamini kutokana na vuguvugu la upinzani wote kwa jumla kwa sasa, CCM itapata (kihalali) matokeo kama ya 2010? Kwa mtazamo wangu, sio utabiri, ni kuwa kadiri tunavyokwenda mpaka sasa, CCM inazidi kuporomoka CCM na upinzani unazidi kupanda (angalia matokeo ya wapinzani wote ndani ya mkoa huo huo dhidi ya CCM).
Hata hivyo, siasa ni mikakati kwa vitendo, sio ahadi tu, kwa hivyo yeyote atakayewatendea haki Watanzania atapata ridhaa yao, iwe CCM, wawe wapinzani.
Kuhusu Zitto, kwa kuwa watu wameamu kumsakama, wataendelea kufanya hivyo hata ndani ya duru za chama chake. Asiposhiriki anakiua chama, akishiriki anajipigia kampeni za urais. Kama alivyosema mwenyewe "ukitenda watu wanafumba macho, usipotenda wanapanua midomo". Hivi ndivyo mchezo wa kisiasa ulivyo, ni wale tu wasiotetereka ndio wanaohimili vishindo.
Yeye ni naibu katibu mkuu, mbona katibu wake anafanya, M4C syo ya low level its a high level campagnSasa zitto akijihusisha na M4C kila Lema watakula wapi? M4C kazi yake kubwa ni kuwanyanyua makinda wa CDM, Zitto yuko level nyingine.
Nakubaliana nawe mkuu, ndio maana hata rangi ya mwandiko imekushinda, hongera kwa ubunifu wako makini na Zitto wako makini.usilazimishe mtu afikiri unavyofikiri wewe, aamini unavyoamini wewe, wengine wanaona mbali zaidi uonavyo zitto ni mtu makini sana
Mbona hakemei hata mauwaji yanayofanywa na policcm? Mou na TISS itamtesana... majibu ya kinafiki
"I am in Sri Lanka for a Commonwealth Parliamentary Association meeting. Also reading and writing - my favourites" ulipataje link ya kushiriki huko? a meeting? miezi miwili.... kituko ni reading and writing...Mnafiki
POMPO, huwa ninajaribu kutoegemea upande wowote wa siasa kwa kuogopa mawazo yangu kuharibiwa na itikadi za kisiasa. Hivyo, yangu uanyoyaona hapa hayamtetei au kumlinda yeyote, wa chama au itikadi yoyote bali mawzo yangu binafsi.Mammamia, umeanza vizuri umeshindwa kuimalizia vizuri vivyo hivyo Zitto alianza vizuri na CHADEMA kashindwa kumaliza vema na CDN anaanza kutapatapa! huwezi tumikia mabwana wawili.
listen,matokeo 2012 yako vile kwa sababu alipambana pia na upinzani kutoka ndani ya uongozi wa juu wa chadema;ni ukweli usiopingika kuwa watu kama wewe chini ya uongozi wa mbowe hampendi kumwona zitto akiendelea kuwa juu kwenye siasa za tanzania,lakini mungu ni mwema hujibu maombi ya wale wote wasioacha kumwomba...jaribuni leo kumtimua zitto kama chadema itaendelea kuwepo,i dare you!
kuna tulioona kwanza na kukataa status quo na kuingia kuweka msingi wa mabadiliko.
some of us rebranded the party and ensured its growth to now. Anybody knows CDM pre 2005?
hapana. Sitaki kusema chochote. Ninachosema ni kuwa 1) those who risked 2) those free riders (in public finance)....
listen,matokeo 2012 yako vile kwa sababu alipambana pia na upinzani kutoka ndani ya uongozi wa juu wa chadema;ni ukweli usiopingika kuwa watu kama wewe chini ya uongozi wa mbowe hampendi kumwona zitto akiendelea kuwa juu kwenye siasa za tanzania,lakini mungu ni mwema hujibu maombi ya wale wote wasioacha kumwomba...jaribuni leo kumtimua zitto kama chadema itaendelea kuwepo,i dare you!
Zitto alishajipambanua na kutaka rais ajae awe kijana na kusisitiza vijana tunaweza, sasa inapotokea Vijana wanakufa na yeye kama alivyojipambanua kuongoza kundi la vijana kudai mabadiliko, iweze policcm wanauwa vijana yeye anakuwa kimia? pia kuna tuhuma kuwa ana MoU ( makubaliano) ya kutomkosoa JK hadharani, na Policcm kupitia TISS. ni Dumila kuwili anashindwa kukemea atawachafua anaojipendekeza.. Mnafiki.kila mtu wa chadema atoe kauli yake? kwenye hili zito tunamuonea bure, katibu zanzibar atoe kauli, makamu mwenyekiti atoe kauli, makamu bara atoe kauli hivi hii itakuwaje?
I think here you got it backwards. I believe he was trying to imply that now that he has taken a back seat people want to critisize him but when he was active nobody appreciated him
Kuhusu Zitto, kwa kuwa watu wameamu kumsakama, wataendelea kufanya hivyo hata ndani ya duru za chama chake. Asiposhiriki anakiua chama, akishiriki anajipigia kampeni za urais. Kama alivyosema mwenyewe "ukitenda watu wanafumba macho, usipotenda wanapanua midomo".
ukatibu kaupataje? Low level inaweza kuwa kiakili pia.Yeye ni naibu katibu mkuu, mbona katibu wake anafanya, M4C syo ya low level its a high level campagn