Haya ndio Majeshi ya Ulinzi na Usalama Duniani kote

Yule anayemlinda raisi anaitwa bodyguard au mpambe wa raisi. Wale wengine wanaokuwa nyuma yake wanaovaa kiraia wanaitwa USALAMA wa taifa ama Tanzania Intelligency Security Service(TISS).TISS ama usalama wa taifa ni idara wala sio jeshi inayojumuisha askari wenye mafunzo maalumu ya hali ya juu ya kiphysically na kipelelezi kuliko ya jeshi lolote lile. Hawa askari hupatikana toka JWTz POLISI au JKT japo jkt sio sana.
 
Hao wazee wa taiga ni maraia mkuu kwahyo usishangae watu 7 kupasuliwa na mtu mmoja
 
Naona mtoto wa Kota za kipolisi unawatetea ndugu zako
TPDF haiwezi kuwa na Polisi acha uvivu wa kfkr Ni Sawa na kilinganisha muziki wa reggae na mnanda wa akina msaga sumu
 
Dyu aseee hatare😁😁😁
 
Hali ya Nani "SIREDI" Imewakutanisha TUSAMINIWE,MAPIKIPIKI,MASUTI,MAGWANDA,MAGAMBA, ili mradi kila mtu mjuaji kwetu site bonge la stareheee!
 
Mkuu Dogo G JKT ni jeshi.. JKT ni moja ya Kamandi za JWTZ.. Wanavaa nguo za mapambano..Vita ikitokea watakwenda..
Baadhi ya Viongozi wa JWTZ walitokea JKT.. tofauti ipo kwenye majukumu tu..
 
Eti jw Ni sawa na polisi khaa hebu nenda pale kivukoni halafu ukitoka pale njoo hapa upanga ngome karibu na ubalozi wa Burundi maza fanta
 
Wenzako wakithubutu kusimulia/kusema/kuchambua hizi habari kuhusiana na vyombo vya serikali hasa majeshi hua hawataji/hawazungumzii/kuilenga nchi husika Tanzania/kenya/uganda n.k hua wanafanya kurefer/kurejea tu
Avoid to be direct/ Epuka kuilenga nchi husika hii ni kwa ajili ya usalama wako na kulingana na misingi na kanuni ya vyombo hivi kwa maana hua kuna waseamaji wakuu katika vyombo/taasisi izo.
Ila umejitahidi kueleza next time rejea maelezo niliyoeleza hapo juu.
Asante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…