Haya ndio majaabu ya 9 desember

Haya ndio majaabu ya 9 desember

appoh

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2013
Posts
5,824
Reaction score
3,089
9 desember ni mpango wa Mungu inaongea vitu ving kwa pamoja

Kwanza ni arobain ya watu waliouwawa tarehe 29 mwez wa 10 9 desember inatimia siku ya 40 mwisho wa msiba

Ukifungua biblia zabur 9 mstari wa 12 yaan 9 desember inatajwa humo kwenye biblia fungua usome .

Je unafaham maajabu gan mengine huenda huuu ukawa mpango wa mungu
 
Kuna kitu kinakuja, watu wakae vizuri, ni wakati wa haki kurejeshwa.
 
Screenshot_20251201-222021~2.png
 
9 ni mpango wa Mungu inaongea vitu ving kwa pamoja

Kwanza ni arobain ya watu waliouwawa tarehe 29 mwez wa 10 9 desember inatimia siku ya 40 mwisho wa msiba

Ukifungua biblia zabur 9 mstari wa 12 yaan 9 desember inatajwa humo kwenye biblia fungua usome .

Je unafaham maajabu gan mengine huenda huuu ukawa mpango wa mungu
..Hakika ni maajabu, ngoja tutafakari pamoja hiyo mistari..
Zaburi 9:12 Mungu hulipiza kisasi kwa umwagaji damu;
kamwe hasahau kilio cha wanaoonewa.

...The verse is a declaration that God remembers the suffering of the oppressed and will hold those who wrong them accountable.
 
Zaburi 9:12
[12]Maana mlipiza kisasi cha damu awakumbuka,
Hakukisahau kilio cha wanyonge.
When he maketh inquisition for blood, he remembereth them: he forgetteth not the cry of the humble.
 
Back
Top Bottom