Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,331
- 33,146
Last edited by a moderator:
Mkuu Mhafidhina Wahindi wapo wengi duniani baada ya Wa china wanofuatia kwa wingi Duniani ni Wahindi hata kama mtawapa sio Mapori muwape hao wahindi East Afrika KenyaDuuuh...! Yaani hakuna kupoteza nafasi hata kidogo...! Si waje tuwape mapori walau wapate nafasi ya kuishi...!
Wanaringa kwa sababu hamuwajuwi wanakotoka kwao ni njaa tupu ndio maana wakija afrika hawataki kurudi kwao indiaMbona wakija Africa wanajifanya matawi hawa kuku? ona walivyo wabaguzi.
Kwa kuzaliana hawajambo hawa duh
Wanaringa kwa sababu hamuwajuwi wanakotoka kwao ni njaa tupu ndio maana wakija afrika hawataki kurudi kwao india