Haya ndio Maisha ya kila siku Nchini india tembea ujionee mwenyewe Kasheshe kweli.

Duuuh...! Yaani hakuna kupoteza nafasi hata kidogo...! Si waje tuwape mapori walau wapate nafasi ya kuishi...!
 
Duuuh...! Yaani hakuna kupoteza nafasi hata kidogo...! Si waje tuwape mapori walau wapate nafasi ya kuishi...!
Mkuu Mhafidhina Wahindi wapo wengi duniani baada ya Wa china wanofuatia kwa wingi Duniani ni Wahindi hata kama mtawapa sio Mapori muwape hao wahindi East Afrika Kenya

Uganda na Tanzania hawatatosha wapo Wahindi zaidi ya Bilioni moja sasa labda tuwape Wahindi bara lote la Afrika kisha sisi Waafrika tuende kuishi india na Wahindi waje huku labda huenda ikatosha lakini Wahindi wanazalina sana kila siku mzee mmoja wa kihindi ana watoto sio chini ya watano.Kasheshe kweli
 
Wanapenda sana ***** wahindi kutwaaa kuzaliana,wanafungua maduka sa nne asubuhi thn wanafunga saa 7 mpk sa 11 kwenda kupumzika!ss imagine..
 
Mh!mkuu nitabaki huku huku Tanganyika!Tanganyika ni nchi yangu nakupenda kwa moyo wangu wote!!!
 
halafu cha kushangaza zaidi na kitu kinacho niudhi kuliko chote
ni kwenye haya ma tv za western countries wanaonyesha vitu vibaya kuhu africa...
lakini ukiangalia in big picture we are much better than other countries....
 
Ama kweli ukiwa chongo afadhali, mwenzio kipofu kabisaaa!!!!!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom