Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,956
Haya ndio Madhara ya kujichora chora mwilini Tatoo mwili kuvimba vimba na kupata Maradhi ya ajabu ajabu kazi kwenu mnaopendakujichora miili yenu....................
Kwa kuangalia nguo aliyovaa huyu ni mfanyakazi tena wa mgodi. Na hii itakuwa allergy kama sio dermatitis.
Dr kama wewe haupendi tattoo hebu tuache tunaopenda bwana (mi nimejichora kila mahala kasoro huu uso tu)