Haya ndege hiyoooooo

Hivi zile dash zingine zilizonunuliwa hapo nyuma ziko wapi???
Moja ndiyo iliyokuwa pemba na raisi, au????
 
Andiko lako ni la kitoto mno: Mtu akisema kwa mfano kuwa mtu yeyote anayeshabikia CCM ni taahira utakubali? ana IQ below average utakubali? So avoid generalizations/sweeping statements! {"Watu wengi" and people close to you, where do you/they fall?)
Ni kuwa humu hatujuani, vinginevyo tungelitafutana tukafahamiana/ tukajua CV zetu. Si ajabu usingelijibu message zangu AND VICE VERSA.
 
Hivi zile dash zingine zilizonunuliwa hapo nyuma ziko wapi???
Moja ndiyo iliyokuwa pemba na raisi, au????
vilikuwa kwa fundi sijui kama vimeshatoka,maana mara ya mwisho vilikuwa juu ya mawe.
 
Usipime. Unaliona linavyozunguka. Kuna ajali ilitokea nchi fulani wakati wa kutua tairi ilipasuka...panga likagonga chini. Kipande kikaingia ndani. Abiria almanusura.
Ombi, it is shame kuwa karne ya 21 na 50+ years of huru watu tunashangilia mapanga boi! Shame on us!
 


Ni wapi nimetaja Chama cha siasa? Nimesema kwamba Wastaani wa IQ Tanzania ni 70, sasa hapo nimekosea wapi? Ina maana sehemu kubwa ya Watanzania ni stupid people, ndicho nilichosema na nikatoa mfano mtu anakucheka kwa kununua Vits ingawaje yeye hana hata hela ya kula, au ni mara ngapi humu zinakuja Mada kwamba gari fulani ni gari la kike na Mwanaume hapaswi kuendesha? Ni jamii gani tena Dunia uliwahi kusikia watu stupid na hoja stupid kama hizo? Sasa mambo ya CCM yanatokea wapi?
 
Daaahh... Hata kama ndio tulikuwa na hamu nayo ndio hiyooo...???... Kama ya kuchezea watoto.... [emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]
 


Ndiyo maana nikasema wastani wa IQ Tanzania 70 hivyo watu wengi ni stupid!
 
Hawa wazungu malofa, wamemchora twiga gani huyo.
 
Hiyo blue ilivyowekwa mbaya na pia huyo twiga kawekwa kienyeji mno, muonekano hauna mvuto! Ingekuwa tu all white na michirizo myembamba ya blue toka mbele hadi nyuma!
Jenga nyumba yako na uipambe rangi unayoitaka ww..
Hyo hapo wameichagua wenzako
 
Aisee,ni aibu kwa TZ yenye 50+ ya uhuru kuwa na kidude kama hiko,hivi hakipeperushwi na upepo kweli ??
Watu kama nyinyi usikute ni kula kulala kwa shemeji yako lakn hapa nyuma ya keyboard mnajigamba utadhan ni lolote
 
Haina haja ya kubishana na jitu kama hilo hapo nafkiri umrshamuelewa kuwa akili yake inaendeshwa na nn ..watu Wa aina hiyo kazi yao ni kubeza na kukejeri wenzao wakat yeye ni ombaomba tu
 
Ni sawa na kusema eti "Mimi natumia Simu ya kitochi kwakuwa inakaa sana na chaji ndiyo maana sina smartphone"
 
Jenga nyumba yako na uipambe rangi unayoitaka ww..
Hyo hapo wameichagua wenzako
Tayari niahaipaka rangi nayotaka, haifichi ukweli waliochagua rangi kwa hii ndege ni "vipofu"!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…