Sisi tumeiponda ndege, wewe umetuponda sisi tulioiponda ndege kwa kwa kosa la kuiponda ndege ukatukejeli kwa misamiati ya Didas M.Watanzania wenzangu jifunzeni tabia ya kudadisi vitu kwa kina, kupata uelewa wa vitu, kuainisha mapungufu na kupendekeza solutions, vile vile the tujifunze kuwapa wengine moyo pale wanapojaribu jambo fulani. Tabia za kubeza na kukebehi bila hata kujua jambo lenyewe, mnapotea ni tabia za kichawi na stone ages, jaribuni kubadilika japo kidogo, hizi ni zama za technology kubwa inayokuwa kwa kasi. Mfano wengi wenu humu mnabeza ndege hizi lakini hamjui hata zinafaida gani au upungufu gani, yaani nyinyi ni watu wa kuzomea tu tena mambo msiyoyajua bali kwa kusikia tu, mpo na kimbelembele cha kushabikia vitu vya watu huku mkiponda vya kwenu. Mtu hata kujitahidi tu kufungua website ya kampuni iliyotengeneza ndege hiyo na kujua kwamba ukikaa karibu na hilo pangaboi hakuna shida, hamuwezi unakalisha makalio yako na kupuuza jitihada za wenzako bila hata kujisumbua, shame on you guys.
Huezi amini nchi ya Tanzania ndo nchi ambayo ukifanya kitu kizur kitaonekana kibaya.afu ukifanya kibaya ndo kinakuwa kizuri...Watanzania wenzangu jifunzeni tabia ya kudadisi vitu kwa kina, kupata uelewa wa vitu, kuainisha mapungufu na kupendekeza solutions, vile vile the tujifunze kuwapa wengine moyo pale wanapojaribu jambo fulani. Tabia za kubeza na kukebehi bila hata kujua jambo lenyewe, mnapotea ni tabia za kichawi na stone ages, jaribuni kubadilika japo kidogo, hizi ni zama za technology kubwa inayokuwa kwa kasi. Mfano wengi wenu humu mnabeza ndege hizi lakini hamjui hata zinafaida gani au upungufu gani, yaani nyinyi ni watu wa kuzomea tu tena mambo msiyoyajua bali kwa kusikia tu, mpo na kimbelembele cha kushabikia vitu vya watu huku mkiponda vya kwenu. Mtu hata kujitahidi tu kufungua website ya kampuni iliyotengeneza ndege hiyo na kujua kwamba ukikaa karibu na hilo pangaboi hakuna shida, hamuwezi unakalisha makalio yako na kupuuza jitihada za wenzako bila hata kujisumbua, shame on you guys.
Nimekariri tu!, ila it is too early to judge! ndiyo maana nimekariri hilo neno! (spoken or written words that have no meaning or make no sense.)Unajua maana yake hilo neno mkuu au umekariri tu?
Ha ha ha ha aiseeeHata kama!!!
Inafanana na ile ya kuchonga pale picha ya ndege.
Ntatoa solution ya nini wakati washanunua kindege chao? haina haja!What's your proposed solution?
Aya banaNimekariri tu!, ila it is too early to judge! ndiyo maana nimekariri hilo neno! (spoken or written words that have no meaning or make no sense.)
Sema vizurNlijua simu,kumbe nimeuziwa sabuni,kweli mjini akili
Hiyo blue ilivyowekwa mbaya na pia huyo twiga kawekwa kienyeji mno, muonekano hauna mvuto! Ingekuwa tu all white na michirizo myembamba ya blue toka mbele hadi nyuma!
Nchi yetu hairuhusu Kuingiza Ndani Matairi ..Sasa hizo taili mbona ziko nje tu
Mh ndege nzuri sana.
Watanzania wenzangu jifunzeni tabia ya kudadisi vitu kwa kina, kupata uelewa wa vitu, kuainisha mapungufu na kupendekeza solutions, vile vile the tujifunze kuwapa wengine moyo pale wanapojaribu jambo fulani. Tabia za kubeza na kukebehi bila hata kujua jambo lenyewe, mnapotea ni tabia za kichawi na stone ages, jaribuni kubadilika japo kidogo, hizi ni zama za technology kubwa inayokuwa kwa kasi. Mfano wengi wenu humu mnabeza ndege hizi lakini hamjui hata zinafaida gani au upungufu gani, yaani nyinyi ni watu wa kuzomea tu tena mambo msiyoyajua bali kwa kusikia tu, mpo na kimbelembele cha kushabikia vitu vya watu huku mkiponda vya kwenu. Mtu hata kujitahidi tu kufungua website ya kampuni iliyotengeneza ndege hiyo na kujua kwamba ukikaa karibu na hilo pangaboi hakuna shida, hamuwezi unakalisha makalio yako na kupuuza jitihada za wenzako bila hata kujisumbua, shame on you guys.
Hakika ni kweli kabisa, inauma sana kuzungukwa na watu wa aina hiiKwani wewe umewasahau Wabongo? Ngoja nikukumbushe ni mara ngapi umemsikia Mtanzania akimcheka mtu anayeendesha Toyota vits au Nissan march wakati yeye anapanda daladala kila siku?
Au ulishawahi kumpa lift Mtanzania halafu akakwambia na wewe jaribu hata kununua gari kubwa kidogo ka, hivyo basi usishangae sana ni Intelligence, Watanzania wengi IQ 70 kwa nchi nje ya Afrika watu wana wastani wa kuanzia 85 nakuendelea hivyo ni shida ya intelligence, watu wetu wengi are just stupid huo ndiyo ukweli wenyewe ni hakuna kitu utafanya ingawaje inauma, too stupid for this earth!!
Tusi likwapi hapo?Acha matusi,kidege kibaya tu,husilazimishe nyekundu kuwa njano.
Mwanzo mzuri
We nawe huo mfano hata hauendani,ingekuwa hizo ndege ni za UGANDA kisha sisi waTZ tukazicheka huo mfano ulikuwa sawa,lakini ndege zimenunuliwa na pesa zetu lakini tunacheka kwa vile aliyetununulia ndio hakutuchagulia chaguo sahihi kwavile anajisifu kuwa yuko makini,lakini hapo kachemka.Kwani wewe umewasahau Wabongo? Ngoja nikukumbushe ni mara ngapi umemsikia Mtanzania akimcheka mtu anayeendesha Toyota vits au Nissan march wakati yeye anapanda daladala kila siku?
Au ulishawahi kumpa lift Mtanzania halafu akakwambia na wewe jaribu hata kununua gari kubwa kidogo ka, hivyo basi usishangae sana ni Intelligence, Watanzania wengi IQ 70 kwa nchi nje ya Afrika watu wana wastani wa kuanzia 85 nakuendelea hivyo ni shida ya intelligence, watu wetu wengi are just stupid huo ndiyo ukweli wenyewe ni hakuna kitu utafanya ingawaje inauma, too stupid for this earth!!