lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,166
- 33,410
1 hapa wacha nisubiri majibuKwa wanaume je ulishawahi kuwa na rafiki yako akakuonesha mpenzi wake wa kike (girlfriend wa rafiki yako)halafu baadae ukafanya tamaa kisha ukamzunguka rafiki yako kwa siri kisha ukala penzi? ama wewe mdada ulishawahi kuoneshwa mpenzi wa rafiki yako wa kike (boyfriend wa rafiki yako),kisha ukafanya hila, ukamzunguka rafiki yako ukamlia vyake?
Swali tete!
hakikisha humpiMi naomba niseme tu ukweli, sijawahi ila kuna shem kanizimikia.
Ulijuaje kama kakuzimikia? alishatoa tamko?Mi naomba niseme tu ukweli, sijawahi ila kuna shem kanizimikia.
Ila kuna watu wanazungukana aise,tena hata marafiki wenye ndoa zao,Ni miongoni mwa tabia mbovu sana.Ni kujishushia heshima kabisa.Huyo mtu mmoja kuzungukana kutembea naye ana nini kipya au kitamu mnoo?Udhaifu wa hali ya juu marafiki kutembea na mtu mmoja.Siwezi kufanya upompompo wa aina hiyo.
Ukiwaona uwaambie ni wapuuzi wa kiwango kilichopitiliza.Ni uzezeta na kufanya mambo kama mahayawani.Dhaifu sana hao kuliko aliowasema CAG.Ila kuna watu wanazungukana aise,tena hata marafiki wenye ndoa zao,
Thubutuuuuu huwajui hao hapo ndio umemfungulia lango sasahakikisha humpi
duh, ebooo! kumbe nisingemwambiaThubutuuuuu huwajui hao hapo ndio umemfungulia lango sasa
Alishajieleza sana tu ila bado najifikiria.Ulijuaje kama kakuzimikia? alishatoa tamko?
na kama alitoa je vp akionesha msisistizo?atapewa kipaumbele?
Simpi... japo bado najifikiria.hakikisha humpi
utakosea sana kama utampa aiseeSimpi... japo bado najifikiria.
Mbona umejibu speed hivyo..Hapana, sijawahi mkuu!
Mi naomba niseme tu ukweli, sijawahi ila kuna shem kanizimikia.
Aah! Mi pia binaadam na ninahisia na na sunna inaruhusu.utakosea sana kama utampa aisee
kwan kipi kinakushawish cha mno