Haya Matunda Mh!

Haya Matunda Mh!

Ninachoshangaa hadi nyanya ina wowowo halafu miss chagga na Matege hawana kweli dunia haipo fair
 
Last edited by a moderator:
hahahaaaaaaa.. we ushaanza kuntamani na dalili zote naziona.. mshana jr unaona umesababisha watu wanajadili tezi jike langu

kwani vibaya mimi kukutamani ??
Mimi nilichoshangaa eti tikiti maji lina wowowo halafu wewe na miss chagga ni flat screen
hapo ndio neno watu ni sawa ila hawana usawa linapotumika
 
Last edited by a moderator:
kwani vibaya mimi kukutamani ??
Mimi nilichoshangaa eti tikiti maji lina wowowo halafu wewe na miss chagga ni flat screen
hapo ndio neno watu ni sawa ila hawana usawa linapotumika

hahaaaaaa.. najivunia kuwa na shape ya kihindi. ila nimecheka
 
Last edited by a moderator:
Hayo matunda moja wapo ni lile walililokula kina adamu na hawa
 
Hayo matunda safi sana ukila huwezi kukinai lazima uyarudie. Matunda bhana!!!
 
Back
Top Bottom