wakunyonya
JF-Expert Member
- Feb 5, 2024
- 989
- 2,409
- Thread starter
- #81
Hawawezi kuamin HawaKama unafikiri pilisi anajua urongo nenda TANGA.
Yuko polisi mmoja aliyekua anajifanya mjuaji Sana. Kuna siku alipangwa kulinda benki usiku. Sasa kufika mida ya swala swala akapitiwa na kajiusingizi kadogo tu. Ile anastuka anajikuta Yuko uchi wa mnyama lakini bunduki yake anayo Ila nguo hazipo.
Basialitumia advantage ya lile Giza la asubuhi kwenda kwake fasta, alipofika nyumbani nguo zake za kazi alizikuta pale pale zinapokaaga.
Yule mujuba hakutaka mengi, aliomba uhamisho kwa nguvu zote.