Haya matokeo mimi kizunguzungu


M

MOMO

Member
Joined
Feb 10, 2008
Messages
82
Likes
0
Points
13
M

MOMO

Member
Joined Feb 10, 2008
82 0 13
Jamani mimi haya matokeo ya Kikwete mbona yananifanya nijisikie hivi? Hivi ni kweli anashinda kwa wingi wa kura kiasi hiki kama vile hatukupiga kura watu wa upinzani? aitaki kusema zaidi but am getting irritated by this.
 

Forum statistics

Threads 1,252,385
Members 482,129
Posts 29,806,362